Yanga SC wamefanikiwa 100% kwa hii 'Unbeaten Record' yao na 'Propaganda' madhubuti

Mkuu wewe ni msema kweli.
Wapuuzi pekee ndiyo watapingana na hili
 
Acha bange toka 1998 hajapata mbinu
 
Jamaa kufika makundi au robo fainali wanahesabia ni ubingwa.. ukweli ni kwamba bingwa ni anaeshinda game ya fainaliau kuongoza ligi, hakuna ubingwa wa kuingia group stage
Wa mchangani mnafarijiana
 
Acha bange toka 1998 hajapata mbinu
Nimesema kushiriki ukiwa na focus.. kabla ya uwekezaji wa mo na gsm hizi simba na yanga zilikua zinaenda caf kutimiza wajibu wa kushiriki tu.. mo apewe heshima yake sana ndio wa kwanza kuweka malengo na mikakati ya simba kufanya vizuri mashindano ya kimataifa na wengine wakiwemo yanga, azam na namungo ndo wakaona inawezekana nao wameamka ingawa wameamka tayari simba akiwa ashapiga hatua nyingi mbele yao ila sio mbaya
 
Hawa uliowataja unaona wana Akili?
 
Either ni mjinga au una matatizo ya akili mechi zote za yanga unbeaten zipo na kufungwa Yanga atafungwa tu ni suala la mda, wewe kama mshabiki wa Simba mfano wangekua na unbeaten ya mechi 43 usingeongea tuacheni unafki
Katibiwe Ugonjwa wako wa Akili Oky?
 
Yanga wanaathirika na mentality za wanasiasa. Nguvu kubwa wanayowekeza kwenye 'unbeaten' ndiyo ile ile baadhi ya wanasiasa walikuwa wanawekeza kila aina ya nguvu ili kuhakikisha kila uchaguzi kuanzia urais hadi serikali za mitaa wanashinda 100% maaana wakipoteza mara moja tu wanajua watu watakumbuka udhaifu wao. Ni ushindi ambao hauna uhalisia.
 
Ushindi wa Yanga hauna uhalisia kivip?
 
Wanaathirika kivipi sasa hapo? Mbona MIKIA ZERO BRAIN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…