Wewe jamaa uliongea Ukweli, baadhi wakapuuzia ,ila Uliona mbali
Yanga mech mbili hiz kachezesha kikos dhaifu na kachukua point 6,
Na hapo nabi alikuwa na sekeseke la kutimuliwa, lakin katumia silaha dhaufu maana anajua kwa NBC haihitaji nguvu kushinda ni propaganda tu,
Wachezaji muhimu wote wamepumzishwa kwa ajiri ya tarehe 2