Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

Yanga haijauzwa Ni mkataba wa jezi Kama wa Vunja Bei Simba inapata Bilioni 1
Yanga bilioni 2+
 
Vunjabei kupitia jezi anailipa Simba bilioni 1.
GSM kupitia jezi anailipa Yanga bilioni 2+.
Huyu GSM akinunua hisa za Yanga atavunja Rekodi ya chuplichupli kanjibai
 
Kama nyie mmeonyeshwa acc iliyoingizwa ile bil 20 manunuzi ya klabu yenu
 
Mtendaj mkuu wa gsm n eng hersi Rais wa yanga n eng hersi nanukuu maneno yake


"Leo tumeingia mkataba mpya na wenzetu wa gsm"

Angesema hv

"Leo sisi gsm tumeingia mkataba na yanga "



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataja kujua hiyo Billion 9 imewekwa kwenye account ipi??
 
Yanga haijauzwa Ni mkataba wa jezi Kama wa Vunja Bei Simba inapata Bilioni 1
Yanga bilioni 2+
Huo mkataba ni makubaliano kati ya GSM kwa GSM wenyewe, ndio maana wajanja tunasema Club imeuzwa.

Huelewi nini hapo? Yani Hersi SAIDI ambaye ni Gsm kaingia mkataba na kampuni ya GSM, mwakilishi wa team asiyefungamana ma GSM ni nani??[emoji16][emoji23].

Ile tenda ya SIMBA SC kuhusu jersey angeichukua MO pasingekalika humu.
 
Akuna kitu kama icho kama ambavyo akuna udhamini wa b.26 ulioandikwa kwenye jezi au sio bwana mbumbumbu, Maana uongo walianza wale wa b.26 zilizosainiwa kwenye jezi na bado wakashindwa dau la kumsajili Manzoki, Adebayor, molaye Sila na ata Aziz ki, thamani ya udhamini inatakiwa iendane na uhalisia wa uwekezaji sasa hapo sijui nani anaedanganya kati ya Mo na Gsm
 
Wakati simba ameramba bilion 1 kwa mwaka mmoja
Mkataba wa Simba waelekea ukingoni
Wakati Simba akipata 1bil
Yanga ilikuwa yapewa 1300 kwa kila jezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…