Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nafikiri wewe ni FCC au sio bwana mkubwa, Uelewi ata unachokiandika hapa kwani Hersi ni nani ndani ya gsm tuanzie hapo kwanzaHuo mkataba ni makubaliano kati ya GSM kwa GSM wenyewe, ndio maana wajanja tunasema Club imeuzwa.
Huelewi nini hapo? Yani Hersi SAIDI ambaye ni Gsm kaingia mkataba na kampuni ya GSM, mwakilishi wa team asiyefungamana ma GSM ni nani??[emoji16][emoji23].
Ile tenda ya SIMBA SC kuhusu jersey angeichukua MO pasingekalika humu.
Mkituoñyesha pia b.2 za vunja bei ziliingia account gani basi na yanga watawaonyesha wameweka benk ganiKwani iyo bil 9.1 hapo uto wazee wa salamander tower wameiweka benki gani ?
Akuna+ icho+ ata+ Ni hakuna, hicho, hata.Akuna kitu kama icho kama ambavyo akuna udhamini wa b.26 ulioandikwa kwenye jezi au sio bwana mbumbumbu, Maana uongo walianza wale wa b.26 zilizosainiwa kwenye jezi na bado wakashindwa dau la kumsajili Manzoki, Adebayor, molaye Sila na ata Aziz ki, thamani ya udhamini inatakiwa iendane na uhalisia wa uwekezaji sasa hapo sijui nani anaedanganya kati ya Mo na Gsm
Mapunguani ni wale mbumbumbu wa Moo maana mnakomalia vitu msivyovielewa, kadadavueni mikataba yenu ya Mo extra, Mo viberiti, Mo biox, na Mo 26 kwanza ndio tunaweza kuwapima kama mnazo akili au zimo za kushikiwaAkuna+ icho+ ata+ Ni hakuna, hicho, hata.
Jifunze kwanza kuandika kabla ya kuja kujifanya kuwa unaweza kudadavua mkataba wa GSM kwenda GSM.
Punguani wa Akili.
Mkuu wale jamaa Rage alishaga walaani, yaani akili zao ni nusu kijiko wanazo za kuvukia barabara tu utaangaika nao hapa utapoteza muda wako bure kuwajibu, msongo wa mawazo walionao ni mkubwa wanaitaji mtaalamu wa saikolojia haraka sanaNimesoma comment za wanasimba kwenye huu mjadala nimesikitika sana.
Lowassa hakukosea aliposemaga ELIMU! ELIMU! ELIMU!
Uelewa wa wanaSimba ni mdogo sana. Yaana kamakala kafupi kama haka ambako hakajazi hata ukurasa mmoja wa A4 wanashindwa kukaelewa.
Mikataba ni miwili. Lakini mtu anachanganya mkataba wa udhamini wa milioni 300 kwa mwaka, na mkataba wa jezi na vifaa vingine vya michezo kana kwamba ni mkataba mmoja.
Halafu mtu anadhani mkataba wa jezi ndo chanzo pekee cha mapato cha Yanga mpaka anaandika "Bilioni 10 kwa miaka mitano ni ndogo sana kwa Yanga."
Halafu kuna mtu sijui hata hesabu alipataga ngapi eti anadhani kwenye makala hii kuna taarifa ya kutosha kumsaidia kukokotoa kwamba ni "Tshs. 1,300/- kwa kila jezi"
Nikikutana na mwanaSimba mmoja mwenye akili ya kusoma na kuelewa nitampa hela akamchangie Vunjabei kwa kununua jezi.
ELIMU! ELIMU! ELIMU!
Mavi kwenye chupi KariaMkuu wale jamaa Rage alishaga walaani, yaani akili zao ni nusu kijiko wanazo za kuvukia barabara tu utaangaika nao hapa utapoteza muda wako bure kuwajibu, msongo wa mawazo walionao ni mkubwa wanaitaji mtaalamu wa saikolojia haraka sana
Kama ambavyo Mo alitoa ile check hewa ya b.20 na Makolo wakaamini kwamba ameiweka kwenye account basi na Yanga wataamini hivyo hivyo kuwa itawekwaSasa hapa uto mnaaminije kwamba hiyo pesa kweli ataiweka GSM kwenye akaunti wakati mkurugenzi mwenyewe wa kampuni ndiye m/kiti wa klabu?Hamuoni kwamba hapa kuna mgongano wa kimaslahi?
Mwanafunzi wa darasa la 7 kajitungia mtihani mwenyewe, kaufanya mwenyewe kajisimamia mwenyewe , kajisahihisha mwenyewe, Matokeo anapanga mwenyewe , anasoma Matokeo mwenyewe , halafu anawalazimisha drs la 1 hadi 6 wamshangilie na kweli wanamshangilia .Maajabu hayaishi nchi hii.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo HERSI ni nobody ndani ya GSM? Mtaamini hivyo kwenye makaratasi ila uhalisia ni mole wa GSM pale Yanga Sc na kazi yake ni kufanikisha mambo mazuri kama haya.Nafikiri wewe ni FCC au sio bwana mkubwa, Uelewi ata unachokiandika hapa kwani Hersi ni nani ndani ya gsm tuanzie hapo kwanza
Kwahiyo na nyinyi hamuombi kuja hela zimewekwa kwenye account gani, sasa zile kelele zilikuwa ni za kazi gani?[emoji16]Kama ambavyo Mo alitoa ile check hewa ya b.20 na Makolo wakaamini kwamba ameiweka kwenye account basi na Yanga wataamini hivyo hivyo kuwa itawekwa
Billion 2 kwa miaka miwili ni kubwa kwa Simba sio[emoji23][emoji23][emoji23]Bilioni 10 kwa miaka 5 ni pesa ndogo sana kwa klabu kama yanga
Dah!....hii nilikua siijui. Shukrani master.Dhamani ni Worth Thamani ni Value kwenye mkataba inatumika worth sio value ume elewa?
Mbona mudi kanji kanunua kwa 20 b huongei papai weweBilioni 10 kwa miaka 5 ni pesa ndogo sana kwa klabu kama yanga
Sasa usitake kila mtu afate unachotaka kuamini wewe, wewe baki na mawazo yako na wengine watabaki na mawazo yao kila mmoja atakula alikopeleka mbogaKwahiyo HERSI ni nobody ndani ya GSM? Mtaamini hivyo kwenye makaratasi ila uhalisia ni mole wa GSM pale Yanga Sc na kazi yake ni kufanikisha mambo mazuri kama haya.
Mimi kila jezi nitawapa sh 10.maana akili hamna.Njoo wewe utupe zaidi ya hio
Jezi 35,000 una kula 1,300?si Bora waingie mkataba was mkopo na watengenezaji wa jezi ..wakiuza jezi baadae waje kulipawanapigwa sana hawa vyura.
ID yako inaendana na unachokiandika atushangai ata kidogoJezi 35,000 una kula 1,300?si Bora waingie mkataba was mkopo na watengenezaji wa jezi ..wakiuza jezi baadae waje kulipa
Kwan mkataba wa simba uko vip, upande wa mauzoBilioni 10 kwa miaka 5 ni pesa ndogo sana kwa klabu kama yanga
Wewe hata milioni 1 tu unayo?Bilioni 10 kwa miaka 5 ni pesa ndogo sana kwa klabu kama yanga