Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

Yanga wameshafanya kosa kuachana na kocha mkuu, hapo bora wangemtafutia kocha msaidizi mzoefu.
 
Haya, marefa wamewabeba mnatafunana wenyewe.
 
Watoto wetu shuleni
 

Attachments

  • 158294643_1547215318785591_4806631376580850960_n.mp4
    4.7 MB
Ulitakiwa ufukuzwe wewe
 
Halafu mwanamuziki wetu nae anatumbuiza Yanga
 

Attachments

  • 157356879_850000722518510_21657928309436506_n.mp4
    3 MB
Matukio haya nayafananisha na biashara ya mama lishe mitaani. Anajenga banda au anafunga turubai na kupika chakula. Jioni chakula nusu kimebaki anafungasha virago, kesho anaendelea kuuza hicho hicho baada ya kukipasha na kuchanganya na kidogo kipya. Kikibaki tena kesho banda au turubai halipo, kesho nyanyua mikono. Nataka aanze biashara na faida aipate siku hiyo hiyo.
 
Kile ki Nizar nilikuwa sioni kazi yake pale Yanga! Naunga mkono maauzi ya uongozi wa klabu!
 
Yanga wanataka kuwaaminisha Mashabiki wao na Wanachama kuwa wana wachezaji wa level za juu Timu imesajili wachezaji wa Mafungu ya nyanya, mlitaka KAZE amfundishe nini mchezaji kama Nchimbi tangu aanze kucheza mpira timu zote alizopita hata Goli 15 hajawahi kufunga, unataka afunge leo yupo Yanga?? Sarpong, Yacouba, Fiston, Farid .........Mwambieni SENZO Awape ubingwa sasa na yule Engineer aliyewaaminisha ubingwa kama vile anacheza mpira yeye.
 
Tatizo nini?
Mbona Yanga anaongoza ligi kwa tofauti kubwa ya pointi 5.

Wamewaonea tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…