Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitakiwa ufukuzwe weweSo disappointed...
Ni kama maamuzi ya kukurupuka hivi ukiwa na hasira, Kwa upande wangu naona "Benchi la ufundi" limeangushiwa jumba bovu, Kuna migogoro ndani ya uongozi wa juu kabisa na kwa baadhi ya wachezaji
Anyways ndio Yanga yetu acha ituue tu
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Tomaso...Sidhan kama ni kweri
Matukio haya nayafananisha na biashara ya mama lishe mitaani. Anajenga banda au anafunga turubai na kupika chakula. Jioni chakula nusu kimebaki anafungasha virago, kesho anaendelea kuuza hicho hicho baada ya kukipasha na kuchanganya na kidogo kipya. Kikibaki tena kesho banda au turubai halipo, kesho nyanyua mikono. Nataka aanze biashara na faida aipate siku hiyo hiyo.Taarifa ya klabuView attachment 1719644
Mwenzie alikuja na pensi tu Mwinyi ZaheraKaze nilikuambia usije na begi kubwa,wenzako huwa wanakuja na suruali 2 tu t-shirt utavaa za team.
Pensi nyanyAMwenzie alikuja na pensi tu mwinyi zahera
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani nilijua tu sisi wananchi hatuna uvumilivu kabisaTaarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la UfundiView attachment 1719639
Taarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la UfundiView attachment 1719639