Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

Mna mambo nyie watu. Ama kweli Yanga..... Nyuma MwikoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtani Shadeeya ...... Haraka ukuje huku kuna mwiko nyuma umeharibu mambo. Polisi badala ya kirungu wao wameshindilia Mwiko nyuma
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nakusalimia Mtani.
 
Barabara ni CEO mzuri kuliko Senzo? Kwa sura ama? Kipi muhimu na cha ajabu kafanya!?
 
Hivi yanga mpo kweli kwenye ligi?.naona kimya sijui mnacheza lini
 
Hii itakuwa kwa hisani ya Prisons πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nashukuru mtani kwa salaam. Naona ulikuwa busy sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hamna bana πŸ˜…πŸ˜… Ni kweli mambo zilikuwa mingi Mtani. Ila amubaki. πŸ˜…πŸ˜…

πŸ™πŸ™
 
Tatizo la Yanga sio benchi la ufundi ila ni quality ya wachezaji hasa washambuliaji hamna wenye sifa.

Wamewaonea tu hao walimu, Yanga hii hata wangeletwa Guardiola, Kllop na Zidane wawe kwenye benchi lakini hawawezi kuchukua ubingwa.

Wachezaji kama akina Sarpong na huyo Abdulrazak sio wa kuweza kuipa timu ubingwa wa ligi. Yanga wanakazana kununua wachezaji wa kigeni ambao uwezo wao unazidiwa na wachezaji wengi wa humu nchini ili miradi tu viongozi wapige pesa. Hovyo kabisa, hawatafika popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…