Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Source kichwani mwako baada ya kuvuta mafanfa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We jamaa bhana nilijua una hoja kumbe ujinga mtupu, 1999&2000 Ubingwa wa Tanzania bara alichukua Mtibwa Sugar ya Morogoro, huyo Tanzania Prisons ulomweka hapo hajawahi kuchukua ubingwa wa Tanzania bara labda kama unaongelea Ligi ya Muungano
 
Sawa nimezaliwa 2000 kabisa. Wewe uliyezaliwa miaka hiyo nipe historia ya ligi kuu ya Tanzania ilikuwaje. Mimi nimekubali uwe mwalimu wangu haya niambie KMKM anaingia vipi kwenye ligi kuu ya Tanzania bara.
Jamaa atakua kala bange+ K-Vant achana nae, sasa KMKM anachezaje ligi ya Tz Bara, Eti 1999&2000 walichukua Prisons na Yanga, jamaa anatuona wote wajinga km yeye
 
Mbona Tanzania Premier League wanasema Simba na Yanga wanashare ubingwa 22 kwa 22
Tanzania Premier League mkuu?! Au umegoogle kule ambako kila mtu ana uwezo wa kuweka taarifa kulingana na uelewa wake?! Ukiweka ushabiki pembeni Yanga anaongoza 27 wa pili Simba ana 22, achana na mleta mada kwanza ashatudanganya kua Prisons na KMKM wemewahi kua mabingwa wa Tz bara we umeskia wapi?! Halafu eti mwaka 2000 bingwa alikua Yanga wakati Mtibwa wakiwa kwenye kiwango bora kabsa walichukua mara mbili mfululizo 1999&2000 uzuri nilikua na umri mkubwatu kipindi hicho so mwache jamaa ajidanganye mwenyewe
 
Mzee naona umekomaa sana. Sasa endelea kukoma bila evidence. Mimi siyo ndezi kama wewe.

Hebu angalia yanga wanavyowaona ndezi wanachama wenu. Heading wameweka wamechukua mara 27 lakini ukihesabu ni 22 kama siyo nyie ni ndezi
 
Kwa namna yoyote hii ni chachu kwa taasisi zinazohusika na kuweka kumbukumbu za matukio ya kimichezo, kufanyia hili kazi kwa kuziweka mitandaoni kumbukumbu hizo, ili kufanya urahisi wa kupatikana kwa taarifa sahihi.
 
1965 Sunderland (Simba SC)

1966 Sunderland

1967 Cosmopolitan

1968 Young Africans

1969 Young Africans

1970 Young Africans

1971 Young Africans

1972 Young Africans

1973 Simba SC

1974 Young Africans

1975 Mseto SC

1976 Simba SC

1977 Simba SC

1978 Simba SC

1979 Simba SC

1980 Simba SC

1981 Young Africans

1982 Pan Africans

1983 Young Africans

1984 Simba SC

1985 Young Africans

1986 Tukuyu Stars

1987 Young Africans

1988 Coastal Union

1989 Young Africans

1990 Simba SC

1991 Young Africans

1992 Young Africans

1993 Young Africans

1994 Simba SC

1995 Simba SC

1996 Young Africans

1997 Young Africans

1998 Young Africans

1999 Mtibwa Sugar

2000 Mtibwa Sugar

2001 Simba SC

2002 Young Africans Sc

2003 Simba SC

2004 Simba SC

2005 Young Africans Sc

2006 Young Africans Sc

2007 Simba SC

2007/08 Young Africans Sc

2008/09 Young Africans Sc

2009/2010 Simba SC

2010/2011 Young Africans

2011/2012 Simba SC

2012/2013 Young Africans

2013/2014 Azam FC

2014/2015 Young Africans

2015/ 2016 Young Africans

2016/ 2017 Young Africans

2017/ 2018 Simba

2018/ 2019 Simba

2019/ 2020Simba

2020/ 2021 Simba

2021/ 2022?

Yanga 27

Simba 22
 
Mzee mbona unajichosha sana. Hii ni website halali ya yanga. Wewe hesabu tu hapo kama utaona takataka uliyoiweka
 
Kwa namna yoyote hii ni chachu kwa taasisi zinazohusika na kuweka kumbukumbu za matukio ya kimichezo, kufanyia hili kazi kwa kuziweka mitandaoni kumbukumbu hizo, ili kufanya urahisi wa kupatikana kwa taarifa sahihi.
Kwa Tifutifu hii sahau.
 
Mzee mbona unajichosha sana. Hii ni website halali ya yanga. Wewe hesabu tu hapo kama utaona takataka uliyoiweka
View attachment 2082608
Hahahaahaaaaa bangi mbaya sana kijana inaonekana hata shule hukusoma, kwa taarifa yako takwimu hupingwa kwa takwimu,.... nimekuwekea list ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara ili ulinganishe na ujinga uliopost kua KMKM na Tanzania Prisons wamewahi kua mabingwa, na angalia vizuri bingwa wa mwaka 1999&2000 halafu kaedit ule upupu wako uliopost
 
Mzee mbona unaongea uharo tu hapa mzee.
Kwenye orodha yao yanga hawajaiweka 1985,1989,1992,1993,1998 wewe unaleta uchafu na ushabiki maandazi.
Nakuletea taarifa kutoka kwenye website ya yanga wewe bado unapiga kelele. Hebu hesabu hapo:-
 
Next time kabla ya kupost fanya utafiti kwanza, watu wapo tena hao hao Simbana Yanga wanaelewa kila kitu kuhusu ligi ya Tanzania bara na mpira kwa ujumla wamekaa kimya wewe unaibuka leo na kuandika ujinga wakatiumezaliwa juzi, mnapelekwa shule badala ya kusoma mnaenda kuvuta bange matokeo yake ndo haya sasa
 
😂😂🤣🤣🤣 Sasa hivi unaogopa kuni quote nakupa za mbavu. Wadanganye utopolo wenzako. Tunakuja kwa evidences wewe unakuja kama ndezi.
 
Anavutia bange kwa tundu ya shit hole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…