Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa bhana nilijua una hoja kumbe ujinga mtupu, 1999&2000 Ubingwa wa Tanzania bara alichukua Mtibwa Sugar ya Morogoro, huyo Tanzania Prisons ulomweka hapo hajawahi kuchukua ubingwa wa Tanzania bara labda kama unaongelea Ligi ya MuunganoLeo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!?
RECORD HII HAPA
Dar es Salaam League
1944- Sunderland (Dar es Salaam)
1945 not known
1946 - Sunderland (Dar es Salaam)
1947-63 not known
1964 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
national (mainland) league
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans (Dar es Salaam)
1969 - Young Africans (Dar es Salaam)
1970 - Young Africans (Dar es Salaam)
1971 - Young Africans (Dar es Salaam)
1972 - Young Africans (Dar es Salaam)
1973 - Simba (Dar es Salaam)
1974 - Young Africans (Dar es Salaam)
1975 - Mseto Sports (Morogoro)
1976 - Simba (Dar es Salaam)
1977 - Simba (Dar es Salaam)
1978 - Simba (Dar es Salaam)
1979 - Simba (Dar es Salaam)
1980 - Simba (Dar es Salaam)
1981 - Young Africans (Dar es Salaam)
1982 - Pan African (Dar es Salaam)
1983 - Young Africans (Dar es Salaam)
1984 - KMKM (Zanzibar)
1985 - Tukuyu Stars(Rungwe)
1986 - Maji Maji (Songea)
1987 - Young Africans (Dar es Salaam)
1988 - African Sports (Tanga)
1989 - Malindi
1990 - Pamba (Shinyanga)
1991 - Young Africans (Dar es Salaam)
1992 - Malindi
1993 - Simba (Dar es Salaam)
1994 - Simba (Dar es Salaam)
1995 - Simba (Dar es Salaam)
1996 - Young Africans (Dar es Salaam)
1997 - Young Africans (Dar es Salaam)
1998 - Maji Maji (Songea)
1999 - Prisons (Mbeya)
2000 - Young Africans (Dar es Salaam)
2001 - Simba (Dar es Salaam)
2002 - Simba (Dar es Salaam)
2003 - not awarded (*)
Tanzania Mainland (Tanzania Bara)
2004 - Simba (Dar es Salaam)
2005 - Young Africans (Dar es Salaam)
2006 - Young Africans (Dar es Salaam)
2007 - Simba (Dar es Salaam) [mini-league]
2008 - Young Africans (Dar es Salaam)
2009 - Young Africans (Dar es Salaam)
2010 - Simba (Dar es Salaam)
2011 - Young Africans (Dar es Salaam)
2012 - Simba (Dar es Salaam)
2013 - Young Africans (Dar es Salaam)
2014 - Azam FC (Dar es Salaam)
2015 - Young Africans (Dar es Salaam)
2016 - Young Africans (Dar es Salaam)
2017 - Young Africans (Dar es Salaam)
2018 - Simba (Dar es Salaam)
2019 - Simba (Dar es Salaam)
2020 - Simba (Dar es Salaam)
2021 - Simba (Dar es Salaam)
2022 -
Jamaa atakua kala bange+ K-Vant achana nae, sasa KMKM anachezaje ligi ya Tz Bara, Eti 1999&2000 walichukua Prisons na Yanga, jamaa anatuona wote wajinga km yeyeSawa nimezaliwa 2000 kabisa. Wewe uliyezaliwa miaka hiyo nipe historia ya ligi kuu ya Tanzania ilikuwaje. Mimi nimekubali uwe mwalimu wangu haya niambie KMKM anaingia vipi kwenye ligi kuu ya Tanzania bara.
Tanzania Premier League mkuu?! Au umegoogle kule ambako kila mtu ana uwezo wa kuweka taarifa kulingana na uelewa wake?! Ukiweka ushabiki pembeni Yanga anaongoza 27 wa pili Simba ana 22, achana na mleta mada kwanza ashatudanganya kua Prisons na KMKM wemewahi kua mabingwa wa Tz bara we umeskia wapi?! Halafu eti mwaka 2000 bingwa alikua Yanga wakati Mtibwa wakiwa kwenye kiwango bora kabsa walichukua mara mbili mfululizo 1999&2000 uzuri nilikua na umri mkubwatu kipindi hicho so mwache jamaa ajidanganye mwenyeweMbona Tanzania Premier League wanasema Simba na Yanga wanashare ubingwa 22 kwa 22
Mzee naona umekomaa sana. Sasa endelea kukoma bila evidence. Mimi siyo ndezi kama wewe.Tanzania Premier League mkuu?! Au umegoogle kule ambako kila mtu ana uwezo wa kuweka taarifa kulingana na uelewa wake?! Ukiweka ushabiki pembeni Yanga anaongoza 27 wa pili Simba ana 22, achana na mleta mada kwanza ashatudanganya kua Prisons na KMKM wemewahi kua mabingwa wa Tz bara we umeskia wapi?! Halafu eti mwaka 2000 bingwa alikua Yanga wakati Mtibwa wakiwa kwenye kiwango bora kabsa walichukua mara mbili mfululizo 1999&2000 uzuri nilikua na umri mkubwatu kipindi hicho so mwache jamaa ajidanganye mwenyewe
Kwa namna yoyote hii ni chachu kwa taasisi zinazohusika na kuweka kumbukumbu za matukio ya kimichezo, kufanyia hili kazi kwa kuziweka mitandaoni kumbukumbu hizo, ili kufanya urahisi wa kupatikana kwa taarifa sahihi.Miaka ya hivi karibuni dhana ya utani wa jadi kati ya Simba na Yanga inapotea kwa kasi na kuibuka kwa chuki nauhasama wa wazi wazi, ukipitia threads nyingi humu kuhusu hizi timu mbili nyingi ni za kutokana, kukejeli, kudharau na kuchukia timu nyingine sijui tatizo ni nini?!
Wikipedia hata mtu asie na account kule anaweza kuingia na kuedit taarifa na kuzipublish zikaonekana vile itakavyompendeza yeye so sio chanzo cha uhakika cha taarifa, anyways mleta mada aende ofisi za FAT/ TFF au BMT atapewa taarifa sahihi badala ya kuleta upotoshaji huku mitandaoni, otherwise ni km lengo ni watu kubishana na kujua nani mbishi mzuri basi ni mada nzuri sana, tuendelee kubishana
Mzee mbona unajichosha sana. Hii ni website halali ya yanga. Wewe hesabu tu hapo kama utaona takataka uliyoiweka1965 Sunderland (Simba SC)
1966 Sunderland
1967 Cosmopolitan
1968 Young Africans
1969 Young Africans
1970 Young Africans
1971 Young Africans
1972 Young Africans
1973 Simba SC
1974 Young Africans
1975 Mseto SC
1976 Simba SC
1977 Simba SC
1978 Simba SC
1979 Simba SC
1980 Simba SC
1981 Young Africans
1982 Pan Africans
1983 Young Africans
1984 Simba SC
1985 Young Africans
1986 Tukuyu Stars
1987 Young Africans
1988 Coastal Union
1989 Young Africans
1990 Simba SC
1991 Young Africans
1992 Young Africans
1993 Young Africans
1994 Simba SC
1995 Simba SC
1996 Young Africans
1997 Young Africans
1998 Young Africans
1999 Mtibwa Sugar
2000 Mtibwa Sugar
2001 Simba SC
2002 Young Africans Sc
2003 Simba SC
2004 Simba SC
2005 Young Africans Sc
2006 Young Africans Sc
2007 Simba SC
2007/08 Young Africans Sc
2008/09 Young Africans Sc
2009/2010 Simba SC
2010/2011 Young Africans
2011/2012 Simba SC
2012/2013 Young Africans
2013/2014 Azam FC
2014/2015 Young Africans
2015/ 2016 Young Africans
2016/ 2017 Young Africans
2017/ 2018 Simba
2018/19 Simba
2019/20 Simba
2020/ 21 Simba
2021/ 22 ?
Yanga 27
Simba 22
Ha haaaaa....Na ni wa huko huko wanakochakata data za mchongo.
Kwa Tifutifu hii sahau.Kwa namna yoyote hii ni chachu kwa taasisi zinazohusika na kuweka kumbukumbu za matukio ya kimichezo, kufanyia hili kazi kwa kuziweka mitandaoni kumbukumbu hizo, ili kufanya urahisi wa kupatikana kwa taarifa sahihi.
Hahahaahaaaaa bangi mbaya sana kijana inaonekana hata shule hukusoma, kwa taarifa yako takwimu hupingwa kwa takwimu,.... nimekuwekea list ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara ili ulinganishe na ujinga uliopost kua KMKM na Tanzania Prisons wamewahi kua mabingwa, na angalia vizuri bingwa wa mwaka 1999&2000 halafu kaedit ule upupu wako uliopostMzee mbona unajichosha sana. Hii ni website halali ya yanga. Wewe hesabu tu hapo kama utaona takataka uliyoiweka
View attachment 2082608
Mzee mbona unaongea uharo tu hapa mzee.Hahahaahaaaaa bangi mbaya sana kijana inaonekana hata shule hukusoma, kwa taarifa yako takwimu hupingwa kwa takwimu,.... nimekuwekea list ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara ili ulinganishe na ujinga uliopost kua KMKM na Tanzania Prisons wamewahi kua mabingwa, na angalia vizuri bingwa wa mwaka 1999&2000 halafu kaedit ule upupu wako uliopost
😂😂🤣🤣🤣 Sasa hivi unaogopa kuni quote nakupa za mbavu. Wadanganye utopolo wenzako. Tunakuja kwa evidences wewe unakuja kama ndezi.Next time kabla ya kupost fanya utafiti kwanza, watu wapo tena hao hao Simbana Yanga wanaelewa kila kitu kuhusu ligi ya Tanzania bara na mpira kwa ujumla wamekaa kimya wewe unaibuka leo na kuandika ujinga wakatiumezaliwa juzi, mnapelekwa shule badala ya kusoma mnaenda kuvuta bange matokeo yake ndo haya sasa
Yanga ni waongo. Title wameandika ushindi mara 27 lakini ukihesabu ni mara 22.Kuna ubingwa wa bara na tanzania ila yanga wanavyodanganya huwa siwaamini
Anavutia bange kwa tundu ya shit hole.Hahahaahaaaaa bangi mbaya sana kijana inaonekana hata shule hukusoma, kwa taarifa yako takwimu hupingwa kwa takwimu,.... nimekuwekea list ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara ili ulinganishe na ujinga uliopost kua KMKM na Tanzania Prisons wamewahi kua mabingwa, na angalia vizuri bingwa wa mwaka 1999&2000 halafu kaedit ule upupu wako uliopost
Wewe mzee wa mwiko nyuma toa maelezo hapa:-Anavutia bange kwa tundu ya shit hole.
Jamaa sjui kaziokota wapi hizo takwimu halafu anakuja kulisha makolo wenzie matango pori. Yani yeye muda wote anawaza kuanzisha nyuzi zihusuzo Yanga, hovyo kabisaMkuu Mtibwa sugar walikuwa mabingwa back to back mwaka 1999 na 2000. Takwimu zako hazipo sawa