Yanga tulegeze msimamo tucheze derby kama watakavopanga

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya

Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju,
Walishindwa kutoka kupambana?
Hawa ni wanaume toleo la ngapi?
Mwanaume Gani unamwogopa baunsa?
Vipi hawa wakiwakuta mabaunsa wapo na wake zao si watakimbia nyumbani

Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara

CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo

Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo

Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out

Yanga tunasema
TUTACHEZA

Yanga bingwa
 
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya

Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara

CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo

Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo

Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out

Yanga tunasema
TUTACHEZA

Yanga bingwa
Mmmmmm! Naona, umeusoma upepo, umeamua KUJIWAHI na kubadili gia angani, ili usihesabike upande tofauti na wale WAWILI!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya

Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara

CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo

Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo

Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out

Yanga tunasema
TUTACHEZA

Yanga bingwa
Hakuna kucheza derby. Sasa tutajua nani timu kubwa nchi hii. Young African jina lenyewe halijawahi badilishwa toka ianzishwe kipindi Cha uhuru. Yanga ni timu kubwa sana Tena sana. Nukuu muhimu "UKIONA KWENYE MTO MAJI YAMETUAMA (YAMETULIA) UJUE PANAKINA KIREFU" mwisho wa kinukuu. Sasa anayebisha na anajikuna kwamba msimamo wa Yanga haufai anyooshe mkono, jifanye unajikuna.
 
Muhimu tu wasikimbie kipigo kwa mara nyingine tena! Maana hao jamaa dakika 0 tu wanaweka mpira kwapani, halafu wanawasingizia mabaunsa.
 
Wao ndio wagonvi wametuma mijitu Yao isiyokiwa na UBONGO iliyovimbewa maharage eti makomandoo kwenda kuzuia watu na wazee wao na mbuzi zao wasifanye mazoezi. Ilikuwa inawahusu nini? Hawa watu wanajifanya wamesoma ila ni Bure kabisa
 
Back
Top Bottom