Yanga tulegeze msimamo tucheze derby kama watakavopanga

Yanga tulegeze msimamo tucheze derby kama watakavopanga

Wao ndio wagonvi wametuma mijitu Yao isiyokiwa na UBONGO iliyovimbewa maharage eti makomandoo kwenda kuzuia watu na wazee wao na mbuzi zao wasifanye mazoezi. Ilikuwa inawahusu nini? Hawa watu wanajifanya wamesoma ila ni Bure kabisa
Na wewe unaamini kuwa 5imba anaweza zuiliwa na hao unaowaita makomando hadi kurudishwa Bunju😀😄
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
 
Hakuna kucheza derby. Sasa tutajua nani timu kubwa nchi hii. Young African jina lenyewe halijawahi badilishwa toka ianzishwe kipindi Cha uhuru. Yanga ni timu kubwa sana Tena sana. Nukuu muhimu "UKIONA KWENYE MTO MAJI YAMETUAMA (YAMETULIA) UJUE PANAKINA KIREFU" mwisho wa kinukuu. Sasa anayebisha na anajikuna kwamba msimamo wa Yanga haufai anyooshe mkono, jifanye unajikuna.
Nawaomba sana Wanachama wenzangu wa Yanga, tucheze na hawa 5imba, uhakika wa kuwafunga mara ya 5 mfululizo upo 💯
 
Hawa hawajielewi. Walipeleka malalamiko mpaka kwa Rais, Samia akawaambia wasimuharibie swaumu yake.

Kwa hiyo wanatafuta gia ya kula matapishi
TUTACHEZA
Nyie ndo muwe wenyeji, andaeni uwanja sisi kiu yetu ni kuwafunga 5imba mara ya 5 mfululizo
Tuiteni hadi Bunju
 
Wanamtindo wa kukimbia, hivyo watakimbia Tena 😂😂😂 sasa hatutaki utoto
Walikuwa wenyeji wa mchezo round ya kwanza
Kijili akafanya jambo la maana
Sasa na hii mechi wawe wenyeji wakiwa tayari watuite tuwafunge hata watuite Bunju
 
Basi mimi siku zote nilifikiri tabia ya kususasusa ndiyo ya akina mama na watoto wadogo wasiojitambua. Halafu mwanaume kumuogopa mwanaume mwenzako (baunsa) ndiyo tabia ya kike kabisa.
😄😀eti tulikuta mabaunsa
Kwaiyo wakikuta mabaunsa wapo na wake zao wanakimbia nyumbani
 
Humjui huyu kumbe.

Ukimshinda kwa hoja utasikia Simba wa mama.
Ulisoma hadithi ya mapapai na mitete.
Nyie si mnaogopa mabaunsa 😀😄
Vip ukimkuta baunsa yupo na mkeo unakimbia nyumba😄😀
Nyie ni wanaume toleo la ngapi?
 
Sio mlegeze yaani nyie hamna msimamo huo Ndio ukweli.

Simba mwanaume bwanaa,Barua moja tuu kisha kimyaaa kala buyu
Hamna buyu ni kuwafunga
Derby ipangwe tuwafunge, siku hiyo hawakupo mabaunsa
 
Sio mlegeze yaani nyie hamna msimamo huo Ndio ukweli.

Simba mwanaume bwanaa,Barua moja tuu kisha kimyaaa kala buyu
Mlienda uwanjani mkiwa mmejaa basi zima! Baada ya kufika uwanjani na kuwakuta makomandoo wetu wanne tu, mkaogopa hata kushuka kwenye lile basi lenu! Na badala yake mkaondoka faster na kwenda kutoa taarifa ya kususia mechi!!

How come wanaume mnawaogopa wanaume wenzenu! Eti kisa ni mabaunsa (makomandoo) 😀
 
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya

Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara

CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo

Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo

Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out

Yanga tunasema
TUTACHEZA

Yanga bingwa
Tuma picha ya Kadi ya uanachama wako tuone
 
Mlienda uwanjani mkiwa mmejaa basi zima! Baada ya kufika uwanjani na kuwakuta makomandoo wetu wanne tu, mkaogopa hata kushuka kwenye lile basi lenu! Na badala yake mkaondoka faster na kwenda kutoa taarifa ya kususia mechi!!

How come wanaume mnawaogopa wanaume wenzenu! Eti kisa ni mabaunsa (makomandoo) 😀

Simba sio club ya ndondi chief,
 
Back
Top Bottom