Yanga tulegeze msimamo tucheze derby kama watakavopanga

Endapo yanga wangeendelea na msimamo wao, heshima ya mpira wa bongo ingerejea na kusingekuwepo na upuuzi wa marefa na viongozi wa tff.

Yanga kukubali kucheza derby itapelekea kutokusikilizwa malalamiko yao siku za baadae.

Hapa manara ataonekana bweg..e, hersi kituko, wanachama na washabiki misukule
Binafsi sijamuelewa kabisa mleta mada. Analeta utani kwenye mambo serious. Yaani tukaze muda wote, eti sasa hivi tukubali tukacheze as if ana matokeo mfukoni mwake akiamini yanga itafunga. Vipi matokeo yakiwa tofauti na Yanga ikafungwa.
Kwanza itaonekana timu ya kingese sana. mleta mada umepuyanga aisee. Narudia tena KUWA SERIOUS.
 
Na wewe unaamini kuwa 5imba anaweza zuiliwa na hao unaowaita makomando hadi kurudishwa Bunju😀😄
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Hao mbuzi na wazee walikuwa wanahusiana nini na mipango yenu ya mechi kama sio mna mawazo mgando ya kishirikina?
 
Nafikiri ili kupeleka mpira mbele hii derby isichezwe Ili siku ingine makolo na tff wasiendeleze uhuni kwenye ligi
 
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya

Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju,
Walishindwa kutoka kupambana?
Hawa ni wanaume toleo la ngapi?
Mwanaume Gani unamwogopa baunsa?
Vipi hawa wakiwakuta mabaunsa wapo na wake zao si watakimbia nyumbani

Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara

CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo

Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo

Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out

Yanga tunasema
TUTACHEZA

Yanga bingwa
mnarukaruka tu tuliwaambia tunzeni tiketi kama hamuelewi sasa meanzakuelewa
 
Wew ni shabiki tena mwanachama, hivi kuna uwezekano mtu akawa mwanachama na asiwe shabiki
 
Mwanachama laZima awe shabiki
Lakini Kuna mashabiki wengi Bado hawajajisajili kuwa Wanachama
 
Kanuni zifuatwe zisitumike busara, kwenye hili tumejifunza kwamba simba na yanga kumbe bodi ya ligi hutumia busara lakini club zingine zinatumika kanuni wewe unapenda iwe hivyo
 
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya

Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju,
Walishindwa kutoka kupambana?
Hawa ni wanaume toleo la ngapi?
Mwanaume Gani unamwogopa baunsa?
Vipi hawa wakiwakuta mabaunsa wapo na wake zao si watakimbia nyumbani

Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara

CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo

Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo

Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out

Yanga tunasema
TUTACHEZA

Yanga bingwa
Mlegeze au msilegeze msimamo au mwiko, KUCHEZA LAZIMA MTACHEZA TU.

Vinginevyo pointi 3 zinaenda msimbazi
 
Back
Top Bottom