Yanga tulegeze msimamo tucheze derby kama watakavopanga

Uko kwenye NBC premier league tumesha malizana na Simba.
Simba tutakutana nae kwenye CRDB Confederation Cup na tutamkanda kwa mara ya tano.
 
Hapa tunaongelea tabia ya wanaume kuwakimbia wanaume wenzao, na pia kususa! Je, ni sahihi? Au kutakuwa na viashiria visivyo vya kawaida ndani yake?

Mwanaume lazima uwe na msimamo wako kwa kile unachokiamini.

Haki haiombwi,umekataa nisifanye mazoezi basi sichezi mechi.

Sijasusa,na msimamo wangu nilitoa tangu jana usiku kwa maandishi.

Wewe Ndio unataka kususa,

Eti urudishiwe gharama za maandalizi, ni kama mwanamke akija geto unamrudishia hela yake ya nauli na kumpa nyingine.

Sasa wewe mkuu unataka 3 za mezani?
 
Uko kwenye NBC premier league tumesha malizana na Simba.
Simba tutakutana nae kwenye CRDB na tutamkanda kwa mara ya tano.
Hawa mbumbumbu ni wanaume wanaogopa baunsa
Vipi CRDB cup wakiwaona Stewart uwanjani siwatakimbia
 
Nakuheshimu mkuu.
Ila acha ujinga . Umeona huyo anaeitwa Muhasibu alivyokujibu. Hawa inatakiwa twende nao hivi hivi. weka ugoko niweke chuma. Wao wanasema wametoa tamko moja tu hawachezi.
Ila sisi matamko kibao mpaka leo unasema turudi uwanjani. Si ndio unarudi kule kule kuwa wenye akili wawili tu. KUWA SERIOUS MKUU.
 
Hatuwaachi wakimbie waje tuwafunge
 
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya

Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju,
Walishindwa kutoka kupambana?
Hawa ni wanaume toleo la ngapi?
Mwanaume Gani unamwogopa baunsa?
Vipi hawa wakiwakuta mabaunsa wapo na wake zao si watakimbia nyumbani

Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara

CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo

Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo

Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out

Yanga tunasema
TUTACHEZA

Yanga bingwa
Hili litakuwa ni tamko la ngapi?
 
Kubalini Mpanzu awapasue mshono huo.

Si mlimdhihaki alivyojifunga.

Anawatamani balaa.
 
Endapo yanga wangeendelea na msimamo wao, heshima ya mpira wa bongo ingerejea na kusingekuwepo na upuuzi wa marefa na viongozi wa tff.

Yanga kukubali kucheza derby itapelekea kutokusikilizwa malalamiko yao siku za baadae.

Hapa manara ataonekana bweg..e, hersi kituko, wanachama na washabiki misukule
 
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya

Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju,
Walishindwa kutoka kupambana?
Hawa ni wanaume toleo la ngapi?
Mwanaume Gani unamwogopa baunsa?
Vipi hawa wakiwakuta mabaunsa wapo na wake zao si watakimbia nyumbani

Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara

CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo

Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo

Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out

Yanga tunasema
TUTACHEZA

Yanga bingwa
Kacheze wewe!!
 
Mmeshaanza kuvurugana. Tumewaingiza kwenye mtego, mkitoka hapo lazima mtakuja kufukuzana na kutwangana bakora.

Tayari hao watu wana sifa hizo.
Mliogopa mabaunsa kama watoto wa kike
 
Back
Top Bottom