Mmmmmm! Naona, umeusoma upepo, umeamua KUJIWAHI na kubadili gia angani, ili usihesabike upande tofauti na wale WAWILI!Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya
Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao
Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara
CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo
Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo
Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out
Yanga tunasema
TUTACHEZA
Yanga bingwa
Yeah sureMwalimu
Hawa watani wakiingia kichwani Kwa hofu Yao Sasa tucheze muda, tarehe na siku yoyote
Hakuna kucheza derby. Sasa tutajua nani timu kubwa nchi hii. Young African jina lenyewe halijawahi badilishwa toka ianzishwe kipindi Cha uhuru. Yanga ni timu kubwa sana Tena sana. Nukuu muhimu "UKIONA KWENYE MTO MAJI YAMETUAMA (YAMETULIA) UJUE PANAKINA KIREFU" mwisho wa kinukuu. Sasa anayebisha na anajikuna kwamba msimamo wa Yanga haufai anyooshe mkono, jifanye unajikuna.Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya
Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao
Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara
CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo
Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo
Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out
Yanga tunasema
TUTACHEZA
Yanga bingwa
Hawa hawajielewi. Walipeleka malalamiko mpaka kwa Rais, Samia akawaambia wasimuharibie swaumu yake.