Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hizo sitaki nataka ni tabia za demu anapokula mistari. Mmeanza kushikashika majani ya kuuma umma midomo?Muhimu tu wasikimbie kipigo kwa mara nyingine tena! Maana hao jamaa dakika 0 tu wanaweka mpira kwapani, halafu wanawasingizia mabaunsa.
Na tutawakanda kivyovyote vileHawa hawajielewi. Walipeleka malalamiko mpaka kwa Rais, Samia akawaambia wasimuharibie swaumu yake.
Kwa hiyo wanatafuta gia ya kula matapishi
Mi napenda ulivyo, hujawahi shupaza shingo ....huna kiburi 🙄
Na wewe unaamini kuwa 5imba anaweza zuiliwa na hao unaowaita makomando hadi kurudishwa Bunju😀😄Wao ndio wagonvi wametuma mijitu Yao isiyokiwa na UBONGO iliyovimbewa maharage eti makomandoo kwenda kuzuia watu na wazee wao na mbuzi zao wasifanye mazoezi. Ilikuwa inawahusu nini? Hawa watu wanajifanya wamesoma ila ni Bure kabisa
Basi mimi siku zote nilifikiri tabia ya kususasusa ndiyo ya akina mama na watoto wadogo wasiojitambua. Halafu mwanaume kumuogopa mwanaume mwenzako (baunsa) ndiyo tabia ya kike kabisa.Hizo sitaki nataka ni tabia za demu anapokula mistari. Mmeanza kushikashika majani ya kuuma umma midomo?
Nawaomba sana Wanachama wenzangu wa Yanga, tucheze na hawa 5imba, uhakika wa kuwafunga mara ya 5 mfululizo upo 💯Hakuna kucheza derby. Sasa tutajua nani timu kubwa nchi hii. Young African jina lenyewe halijawahi badilishwa toka ianzishwe kipindi Cha uhuru. Yanga ni timu kubwa sana Tena sana. Nukuu muhimu "UKIONA KWENYE MTO MAJI YAMETUAMA (YAMETULIA) UJUE PANAKINA KIREFU" mwisho wa kinukuu. Sasa anayebisha na anajikuna kwamba msimamo wa Yanga haufai anyooshe mkono, jifanye unajikuna.
TUTACHEZAHawa hawajielewi. Walipeleka malalamiko mpaka kwa Rais, Samia akawaambia wasimuharibie swaumu yake.
Kwa hiyo wanatafuta gia ya kula matapishi
Wanamtindo wa kukimbia, hivyo watakimbia Tena 😂😂😂 sasa hatutaki utotoNawaomba sana Wanachama wenzangu wa Yanga, tucheze na hawa 5imba, uhakika wa kuwafunga mara ya 5 mfululizo upo 💯
😄😀eti tulikuta mabaunsaBasi mimi siku zote nilifikiri tabia ya kususasusa ndiyo ya akina mama na watoto wadogo wasiojitambua. Halafu mwanaume kumuogopa mwanaume mwenzako (baunsa) ndiyo tabia ya kike kabisa.
Toledo la Sinema Zetu.Nyie si mnaogopa mabaunsa 😀😄
Vip ukimkuta baunsa yupo na mkeo unakimbia nyumba😄😀
Nyie ni wanaume toleo la ngapi?
Mlienda uwanjani mkiwa mmejaa basi zima! Baada ya kufika uwanjani na kuwakuta makomandoo wetu wanne tu, mkaogopa hata kushuka kwenye lile basi lenu! Na badala yake mkaondoka faster na kwenda kutoa taarifa ya kususia mechi!!Sio mlegeze yaani nyie hamna msimamo huo Ndio ukweli.
Simba mwanaume bwanaa,Barua moja tuu kisha kimyaaa kala buyu
Tuma picha ya Kadi ya uanachama wako tuoneMimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya
Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao
Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara
CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo
Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo
Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out
Yanga tunasema
TUTACHEZA
Yanga bingwa
Sasa hawa ni Maskini alafu hawana akili."Masikini hana kiapo".
Capo
Mlienda uwanjani mkiwa mmejaa basi zima! Baada ya kufika uwanjani na kuwakuta makomandoo wetu wanne tu, mkaogopa hata kushuka kwenye lile basi lenu! Na badala yake mkaondoka faster na kwenda kutoa taarifa ya kususia mechi!!
How come wanaume mnawaogopa wanaume wenzenu! Eti kisa ni mabaunsa (makomandoo) 😀