Binafsi sijamuelewa kabisa mleta mada. Analeta utani kwenye mambo serious. Yaani tukaze muda wote, eti sasa hivi tukubali tukacheze as if ana matokeo mfukoni mwake akiamini yanga itafunga. Vipi matokeo yakiwa tofauti na Yanga ikafungwa.Endapo yanga wangeendelea na msimamo wao, heshima ya mpira wa bongo ingerejea na kusingekuwepo na upuuzi wa marefa na viongozi wa tff.
Yanga kukubali kucheza derby itapelekea kutokusikilizwa malalamiko yao siku za baadae.
Hapa manara ataonekana bweg..e, hersi kituko, wanachama na washabiki misukule
Hao mbuzi na wazee walikuwa wanahusiana nini na mipango yenu ya mechi kama sio mna mawazo mgando ya kishirikina?Na wewe unaamini kuwa 5imba anaweza zuiliwa na hao unaowaita makomando hadi kurudishwa Bunju😀😄
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
mnarukaruka tu tuliwaambia tunzeni tiketi kama hamuelewi sasa meanzakuelewaMimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya
Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju,
Walishindwa kutoka kupambana?
Hawa ni wanaume toleo la ngapi?
Mwanaume Gani unamwogopa baunsa?
Vipi hawa wakiwakuta mabaunsa wapo na wake zao si watakimbia nyumbani
Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao
Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara
CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo
Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo
Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out
Yanga tunasema
TUTACHEZA
Yanga bingwa
Mamburura hivi walidhani hawatacheza? Kwamba wanamkomoa nani hao vyur6....
Kwaheri....Kwaresma imekwisha?
NYIE MBONA MNAOGOPA MBUZI.Mabaunsa mnawaogopa Nini Sasa nyie Makolo
Wew ni shabiki tena mwanachama, hivi kuna uwezekano mtu akawa mwanachama na asiwe shabikiMimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya
Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju,
Walishindwa kutoka kupambana?
Hawa ni wanaume toleo la ngapi?
Mwanaume Gani unamwogopa baunsa?
Vipi hawa wakiwakuta mabaunsa wapo na wake zao si watakimbia nyumbani
Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao
Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara
CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo
Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo
Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out
Yanga tunasema
TUTACHEZA
Yanga bingwa
Mlegeze au msilegeze msimamo au mwiko, KUCHEZA LAZIMA MTACHEZA TU.Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya
Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju,
Walishindwa kutoka kupambana?
Hawa ni wanaume toleo la ngapi?
Mwanaume Gani unamwogopa baunsa?
Vipi hawa wakiwakuta mabaunsa wapo na wake zao si watakimbia nyumbani
Yanga kikanuni haina kosa lolote kuhusu kuhairishwa mechi, Bodi ya ligi wamekaa wakatafuta kosa la Yanga likakosa, Bado wana kigugumizi kutoa kutoa maamzi Yao
Simba walishirikiana na Bodi ya ligi na TFF wakakimbia mechi na kutega mtego wa ovyo Kwa kuhofia kufungwa mara 5 mfululizo maana timu Yao ni dhaifu na wachezaji wao wenye unafuu walikuwa majeruhi ikiwa pamoja na Ngoma, Che maloni na kipa Camara
CAS tunashinda ila sisi Wanachama Derby ipigwe 5imba apigwe mara ya 5 mfululizo
Sasa nawaomba bodi ya ligi tangaza tarehe mpya derby ipigwe nimfunge mtani mara ya 5 mfululizo
Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out
Yanga tunasema
TUTACHEZA
Yanga bingwa
Unabwia Unga wa Ngano au Sembe?Tutawafunga mara 5 mfululizo na mashabiki wao watashinikiza Mangungu out