Yanga tulegeze msimamo tucheze derby kama watakavopanga

Tatizo ni masharti ya mganga mkuu wakicheza derby siku nyingine tofauti na ile watapigwa vibaya sana afu wataporomoka na watapoteza mataji yote.
 
Tatizo ni masharti ya mganga mkuu wakicheza derby siku nyingine tofauti na ile watapigwa vibaya sana afu wataporomoka na watapoteza mataji yote.
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
 
Wamepita wote FA wawakutanishe huku huku chini kabla hawajapoa huku wakiendelea kupanga ratiba ya ligi watafute sababu ingine.
TFF tupeni Simba hiyo CRDB Cup..
 
Mtoa mada inaonekana unapenda mipasho sana. Jinsia yako ni ke/me?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…