Yanga tunataka Mchukua Manara - Chonde chonde tuacheni huu Upuuzi

Wacha roho mbaya blaza, Haji anachukua mkeka huo . Kwani nini?
 
Chukueni c mlikua mna mmendea haya kafutwa msimbazi mjumuisheni na senzo aisee rege liendelee pale jamgwani
 
Utopolo bado sana, siku zote mnawaza kuwekeza kwenye midomo hamjifunzi kwa Simba, mkimchukua Manara mtasema ndie msemaji bora Afrika, nyie ni washamba sana.
Hawa majamaa hawashindwi ,kama Senzo walimchukua manara kazi ndogo tu yule hana dau kubwa
 
Sidhani kama kuna Kiongozi wa Yanga anaweza kufanya huo upuuzi. Hajji Manara na Bernard Morrison ni viumbe ambao kamwe hawastahili kuwa na mahusiano yoyote yale mazuri na Yanga.

Wapumbavu wakubwa wale! Wametufanyia kejeli nyingi sana.
Enough is enough.
 
Kama senzo mlimchukua, manara hana dau yule, bei chee tu
 
Upo usingizini unaota na ghafla unazinduka unakumbuka kuwa ulikuwa unaota lkn huwezi simulia ndoto husika.
 
NKYALU MUKUNZA MUKATILE NNAMA

Huyu akiingizwa kwenye maji ya uvuguvugu , akikwanguliwa manyoya na kukatwa mkia tayari anakuwa mwananchi saaafi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…