Yanga tunataka Mchukua Manara - Chonde chonde tuacheni huu Upuuzi

Enough is not enough!!!poleni

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hebu rudia tena
 
Yanga ni ya GSM, kama ilivyo Simba ya MO....sasa wewe unaongea/unashauri km nani?

Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu, joka limo chumbani sasa, nimeamini GSM hana mapenzi na yanga

Kama aliweza kui'snitch simba atashindwa yanga???
GSM wapigaji...wamekuja kupiga pesa tu pale Yanga ... Wapo tayari kujinufaisha kwa hali yoyote
 
Usihamishe magoli. GSM ndiye mmiliki wa Yanga.
Yanga ni timu ya wananchi wewe! Siyo ya GSM au mtu yeyote yule kama ilivyo kwa timu mnayo ishabikia nyinyi, ambayo ni mali ya Moo na Kimada wake Barbra
 
Yanga ni timu ya wananchi wewe! Siyo ya GSM au mtu yeyote yule kama ilivyo kwa timu mnayo ishabikia nyinyi, ambayo ni mali ya Moo na Kimada wake Barbra
Usiwe mbishi wewe GSM anafanya atakavyo mfano hai ni ujio wa Haji, hakuna kiongozi yoyote wa Yanga aliyechaguliwa na wana Yanga ambaye alikuwa na wazo la kumchukua huyu roporopo na hata ujio wake hakuna aliyependa ukiwepo wewe lakini ndiyo hivyo msiyemtaka kaja na cha kufanya hamna mwenye timu ameshaamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…