Yanga tutarudi imara zaidi

Majeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana
Mechi ya Tabora Boys mlisema kukosekana kwa Baka na Dickson kumewagharimu. Leo wamecheza, unataja wengine. Basi kauli kama hizi tutaendelea kuzisikia maana si rahisi kuwa na wachezaji wote 30 wakawa katika uwezo wa kutumika
 
Yanga inatibu mguu badala ya kichwa,yanga haitasimama kamwe Hadi injinia atakapo acha kiburi na kuamua kuwashirikisha wale waliomsaidia kupata ubingwa kipindi yanga ipo dhohofu kwa miaka minne hao naamini wanamajibu.
 
Mzee huu ni unafiki,uzuri wa kocha umejuaje?
Halafu unasema mtarudi kutoka wapi ?
 
Sisi tunaojua Mpira tunajua yanga atarudi njia kuu mda si mrefu kwasababu tatizo la yanga kwa sasa linarekebishika na litapatiwa ufumbuzi mda si mrefu
 
Kwani yanga alipoteza mechi ngapi ugenini tuanzie hapo!
 
Kwani yanga alipoteza mechi ngapi ugenini tuanzie hapo!
Soma tena nilichoandika utaweza kujijibu swali lako.

Mnaenda kufungwa tena na wale waarabu wengine hapo hapo kwa Mkapa. Msimu wenu ushaisha, ndani na kimataifa.
 
Soma tena nilichoandika utaweza kujijibu swali lako.

Mnaenda kufungwa tena na wale waarabu wengine hapo hapo kwa Mkapa. Msimu wenu ushaisha, ndani na kimataifa.
Na nyie vip kwenye mashindano ya akina mama
 
Maisha yanaenda kasi sana! Sisi ndiyo wa kuishi kwa matumain kama makolo😂😀
 
Soma tena nilichoandika utaweza kujijibu swali lako.

Mnaenda kufungwa tena na wale waarabu wengine hapo hapo kwa Mkapa. Msimu wenu ushaisha, ndani na kimataifa.
Sasa wewe uongelei Mpira bali unaleta siasa kwenye Mpira huo msimu ulioisha labda kama Mangungu na Try again ndio wameumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…