Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mechi ya Tabora Boys mlisema kukosekana kwa Baka na Dickson kumewagharimu. Leo wamecheza, unataja wengine. Basi kauli kama hizi tutaendelea kuzisikia maana si rahisi kuwa na wachezaji wote 30 wakawa katika uwezo wa kutumikaMajeruhi ya Aucho, Mzizie na Boka yametugharimu sana