Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
74dakika ya ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
74dakika ya ngapi
Hahaahaaaaa subiri wanataka kufanya sub aingie aokoe jahazi naManara mdomo wake ulikuwa na nguvu Simba sababu Simba wana timu, sasa huko gereji ameenda mdomo wake utakuwa uchawi wakuwaloga wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23] machampion ya buzaReturn of the champions ya nyoko [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakipigwa hapa ,na wakapigwa Nigeria halafu ngao ya jamii tukawapiga Manara anafukuzwaManara mdomo wake ulikuwa na nguvu Simba sababu Simba wana timu, sasa huko gereji ameenda mdomo wake utakuwa uchawi wakuwaloga wenyewe.
Huyu wamuongezee uwanja tu hakuna namnaKudadeki hadi Nchimbi ndani ,tunasubiri Manara apashe asawazishe
Return of the champions ya nyoko [emoji16][emoji16][emoji16]
wako kwao ngoja waje kwa mkapa utaona show,😂Rivers Wametulia Wancheza Kama Wako Nigeria Vile.
😂😂😂😁😂.
Mungu Wangu We Ni Fundi Sana.
Manara afukuzweUPDATES
00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu.
03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers
05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa kuwapunguza msururu wa mabeki, juhudi zake zinaishia hewani.
19' Almanusura Adeyum aweke goli kupitia mpira wa adhabu ndogo kuelekea lango la Rivers
20' Makambo anapiga shuti kali la chini na kutoka nje kidogo ya lango la Rivers
24' Makambo anataka goli kama alilowaweka Zanako lakini inakataa
28' Yakuba anashindwa kuandika bao la kwanza baada ya mpira kuponyoka mlinda mlango kwa kupiga kichwa fyongo
41' Rivers wanaingia kwenye lango la Yanga, shuti linatoka nje ya lango
45+2' Mpira unakwenda mapumziko
51' ⚽Moses anaiwekea Rivers bao la kwanza, Yanga 0-1 Rivers
64' Feisal Salum anapata nafasi ya kusawazisha baada ya Makambo kuuruka mpira lakini anapaisha juuu
=========
View attachment 1934361
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) leo watashuka kwenye dimba la uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na timu ya Rivers United katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya mashindano hayo
Baada ya mechi hii, timu hizo zitarudiana tarehe 19/09/2021 ili kuweza kupata mshindi atakayefuzu kwenye hatua inayofuata
Ungana nami nikikuletea kinachojiri katika mpambano huo
#RetunsOfChampions
Kikosi Cha Yanga
1. Diarra
2. Kibwana
3. Adeyum
4. Job
5. Mwamnyeto
6. Mukoko
7. Jesus
8. Mauya
9. Makambo
10. Feisal
11. Yacouba
1 Bila Eti Wamefungwa TenaaaaNgapo ngepi?
Aisee kuliko Yanga bora ingeenda biashara unitedItake Simba radhi mkuu... Simba ipo level za Mazembe, Mamelod, Wydad...