Yanga wameanza kuonyesha matumaini

Tatizo kimo
 
Point 1 imekurudisha hewani

Safari yenu imeishia hapo

Msimamo utaisha hivi hivi kama ambavyo ulivyokuwa saizi.
Point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano ya akina mama
 
Point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano ya akina mama
Tp Mazembe kafungiwa kusajili tangu mwaka jana.

Na isitoshe key players watano waliokuwa wanaanza 1st eleven waliondoka.

Lakini hiyo peke yake bado haijatosha kuwafanya mpate point 3.

Tp Mazembe kwa sasa ni bora kuliko Gongowazi imeweza ku maintain kupata point 2 katika mazingira magumu ya kikwazo.
 
Club bingwa sio sawa na mashindano yenu ya UMISETA
Club Bingwa kwa sasa imetiwa najisi na sasa uhondo wote upo shirikisho.

Ilipo Simba ndipo uhondo ulipo, Simba kwa sasa ndio ingredientes yenye kutoa flavour kwenye tournament ambayo kila host angependa kuona mvuto wa mashindano yake.
 
Tp Mazembe Imefungwa lakini inacheza CAFCL group stage
5imba isiyofungiwa ipo mashindano ya akina mama
 
Tp Mazembe Imefungwa lakini inacheza CAFCL group stage
5imba isiyofungiwa ipo mashindano ya akina mama
Timu zote ambazo hazikustahili kushiriki hiyo michuano zitaondoshwa

Na mpaka sasa uelekeo ni mzuri.
 
Club Bingwa kwa sasa imetiwa najisi na sasa uhondo wote upo shirikisho.

Ilipo Simba ndipo uhondo ulipo, Simba kwa sasa ndio ingredientes yenye kutoa flavour kwenye tournament ambayo kila host angependa kuona mvuto wa mashindano yake.
😅😀🤣
Kweli Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
 
Timu zote ambazo hazikustahili kushiriki hiyo michuano zitaondoshwa

Na mpaka sasa uelekeo ni mzuri.
Shirikisho ni aibu
Hayo mashindano ya Namungo
5imba ndo mnatamba nayo
 
😅😀🤣
Kweli Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Yani hiyo 1 mliyoipata mngepiga leo nayo picha kabisa.

Sambamba na Mpumelelo kwenye goli lake.
 
Shirikisho ni aibu
Hayo mashindano ya Namungo
5imba ndo mnatamba nayo
Ilikuwa aibu wakati wewe ni mshiriki.

Na ndio maana CAF walifikiria kuyafuta.

Lakini sisi ndio tumekuja huku kuyanusuru kwa kurudisha heshima ambayo miaka miwili ilikuwa imepotea kutokana na timu za daraja za chini kufanya najisi.
 
Hata akishinda yeyote yule au hata watoke sara lakini kinachotakiwa kwa Yanga ni kushinda mechi zake zote tatu zilizobakia.
Utashinda sawa muda huo wenzio wanahitaji point nne nne tu wafuzu.

Yaani sare moja na ushindi moja. Wakati huo hao pia una match nao.
 
Ilikuwa aibu wakati wewe ni mshiriki.

Na ndio maana CAF walifikiria kuyafuta.

Lakini sisi ndio tumekuja huku kuyanusuru kwa kurudisha heshima ambayo miaka miwili ilikuwa imepotea kutokana na timu za daraja za chini kufanya najisi.
Wakiyafuta Hayo mashindano ya akina mama
5imba mtacheza mashindano Gani
Kumbuka na mapinduzi cup imefutwa
 
Hapo ni kufa tu. Itakuwa walikimbia na hela za mganga.

Naipenda Simba Mshabiki wa Damu.
 
Wakiyafuta Hayo mashindano ya akina mama
5imba mtacheza mashindano Gani
Kumbuka na mapinduzi cup imefutwa
Simba kacheza mashindano yenye hadhi kubwa kuliko Gongowazi.

AFL ya msimu jana yalikuwa ni mashindano yenye hadhi kubwa kuliko yote na haitakuja kutokea tena hadhi ile kupatikana kwenye muendelezo wa msimu mwingine.

Tupo shirikisho kwa lengo moja tu la kutoa sababu kwa CAF kwanini hayapaswi kufutwa.

Tumekuja kufuta laana ambayo miaka miwili iliyopita timu za mchangani zilitia najisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…