BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Tatizo kimoProgress inaonekana na urejeo wa mzize na aucho Kuna kitu kimeongezeka,,bado eneo la kibabage Lina changamoto sana ata krossi iliyozaa bao la Leo pia imetokea upande huo,,umakini tu Leo umekosekana kwenye final ya yanga ilikuwa yanga ashinde hii mechi,,point Moja ya Leo ni muhimu sana kwa yanga anatakiwa aokote point zote 6 za kwa mkapa kama anataka kusonga mbele,,mechi ya Mc alger dhidi ya Al hilal itatoa picha kamili ya kundi