Yanga wameanza kuonyesha matumaini

Yanga kakupiga mara nne mfululizo
Upo UMISETA
Mapinduzi imefutwa
Sasa hivyo vikoba vikifutwa mtacheza mashindano Gani?
 
Utashinda sawa muda huo wenzio wanahitaji point nne nne tu wafuzu.

Yaani sare moja na ushindi moja. Wakati huo hao pia una match nao.
Ndio unaongea hesabu gani hapo huwezi uka + na - kwa wakati mmoja. Kama Yanga itashinda mechi zake zote zilizobakia maanake hao wengine watakuwa hesabu ya - wakati Yanga itakuwa ni + yaani watapoteza point 3 kila mmoja.
 
Yanga kakupiga mara nne mfululizo
Upo UMISETA
Mapinduzi imefutwa
Sasa hivyo vikoba vikifutwa mtacheza mashindano Gani?
Utopolo 0 Azam 1
Utopolo 1 Tabora 3
Utopolo 0 Alhilal 2
Algers 2 utopolo 0
Haichukui nafasi ya daktari...
 
Yanga kakupiga mara nne mfululizo
Upo UMISETA
Mapinduzi imefutwa
Sasa hivyo vikoba vikifutwa mtacheza mashindano Gani?
Ww wakati hauchezi club bingwa miaka 4 mfululizo ulikua unacheza nini? Mdako? Maana haukuwepo kote kote yani kote umedoda...
 
Yanga kakupiga mara nne mfululizo
Upo UMISETA
Mapinduzi imefutwa
Sasa hivyo vikoba vikifutwa mtacheza mashindano Gani?
Yani kiufupi kwenye kundi lenu tungemtoa Mazembe tukamuweka Tabora

Ilikuwa ni Al Hilal na Tabora ambao wangefuzu.
 
Ww wakati hauchezi club bingwa miaka 4 mfululizo ulikua unacheza nini? Mdako? Maana haukuwepo kote kote yani kote umedoda...
Kwani nilivokupiga mara nne mfululizo ilikuwa miaka gani
 
Mnaomba tena badala ya kushinda uwanjani!
 
Unajua hata ibenge anacheza kiwanja gani na nani?
 
Ma
Mazembe wapo unga tena kuliko 5imba iliyopo mashindano ya akina mama
MC ALGER 2 YANGA 0

AL HILAL 2 YANGA 0

TABORA UTD 3 YANGA 1

AZAM 1 YANGA 0

MSIMAMO WA KUNDI A ALILOPO YANGA.
1.AL HILAL
2.MC ALGER
3.TP MAZEMBE
4.YANGA
 
MC ALGER 2 YANGA 0

AL HILAL 2 YANGA 0

TABORA UTD 3 YANGA 1

AZAM 1 YANGA 0

MSIMAMO WA KUNDI A ALILOPO YANGA.
1.AL HILAL
2.MC ALGER
3.TP MAZEMBE
4.YANGA
Mechi ya KIJILI ipo wapi
 
Sasa nyie mbumbumbu, mpo huko dampo mtaelewa Nini kuhusu mambo ya club bingwa
Hujui mechi za ugenini zinachezwaje upo Kwa akina mama
Mama ni yanga peke yake hajashinda mechi hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…