Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kucheza ni kupata point 3Ukishiriki huchezi
Wenzako wanazo ila we hamnazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucheza ni kupata point 3Ukishiriki huchezi
Yanga kakupiga mara nne mfululizoSimba kacheza mashindano yenye hadhi kubwa kuliko Gongowazi.
AFL ya msimu jana yalikuwa ni mashindano yenye hadhi kubwa kuliko yote na haitakuja kutokea tena hadhi ile kupatikana kwenye muendelezo wa msimu mwingine.
Tupo shirikisho kwa lengo moja tu la kutoa sababu kwa CAF kwanini hayapaswi kufutwa.
Tumekuja kufuta laana ambayo miaka miwili iliyopita timu za mchangani zilitia najisi.
Kweli Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbuKucheza ni kupata point 3
Wenzako wanazo ila we hamnazo
Ndio unaongea hesabu gani hapo huwezi uka + na - kwa wakati mmoja. Kama Yanga itashinda mechi zake zote zilizobakia maanake hao wengine watakuwa hesabu ya - wakati Yanga itakuwa ni + yaani watapoteza point 3 kila mmoja.Utashinda sawa muda huo wenzio wanahitaji point nne nne tu wafuzu.
Yaani sare moja na ushindi moja. Wakati huo hao pia una match nao.
Utopolo 0 Azam 1Yanga kakupiga mara nne mfululizo
Upo UMISETA
Mapinduzi imefutwa
Sasa hivyo vikoba vikifutwa mtacheza mashindano Gani?
Ww wakati hauchezi club bingwa miaka 4 mfululizo ulikua unacheza nini? Mdako? Maana haukuwepo kote kote yani kote umedoda...Yanga kakupiga mara nne mfululizo
Upo UMISETA
Mapinduzi imefutwa
Sasa hivyo vikoba vikifutwa mtacheza mashindano Gani?
Yani kiufupi kwenye kundi lenu tungemtoa Mazembe tukamuweka TaboraYanga kakupiga mara nne mfululizo
Upo UMISETA
Mapinduzi imefutwa
Sasa hivyo vikoba vikifutwa mtacheza mashindano Gani?
Napoteza muda kubishana na mbumbumbuYani kiufupi kwenye kundi lenu tungemtoa Mazembe tukamuweka Tabora
Ilikuwa ni Al Hilal na Tabora ambao wangefuzu.
Kwani nilivokupiga mara nne mfululizo ilikuwa miaka ganiWw wakati hauchezi club bingwa miaka 4 mfululizo ulikua unacheza nini? Mdako? Maana haukuwepo kote kote yani kote umedoda...
Mnaomba tena badala ya kushinda uwanjani!Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi nyingine.
Mechi ijayo ya Yanga na Mazembe kwa Mkapa uwanja utajaa sana mashabiki kwenda kuipa sapoti timu yao. Tuombe usiku leo Ibenge Fc washinde pamoja na mechi ya marudiano
We jamaa huenda wewe ni mzee Magoma😄😄Na kwa Namungo mlisema hivyo hivyo
Bila visindano ni weupe kama toilet paperHapana,ni kipindi tu,we fikiria kipindi cha nyuma kidogo,timu ilivyokua yamoto.
Ni hali tu ilitupata.
Unajua hata ibenge anacheza kiwanja gani na nani?Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi nyingine.
Mechi ijayo ya Yanga na Mazembe kwa Mkapa uwanja utajaa sana mashabiki kwenda kuipa sapoti timu yao. Tuombe usiku leo Ibenge Fc washinde pamoja na mechi ya marudiano
MC ALGER 2 YANGA 0Ma
Mazembe wapo unga tena kuliko 5imba iliyopo mashindano ya akina mama
Mechi ya KIJILI ipo wapiMC ALGER 2 YANGA 0
AL HILAL 2 YANGA 0
TABORA UTD 3 YANGA 1
AZAM 1 YANGA 0
MSIMAMO WA KUNDI A ALILOPO YANGA.
1.AL HILAL
2.MC ALGER
3.TP MAZEMBE
4.YANGA
YANGA NDIO MAMA KWENYE KUNDI LAKE HADI SASA HIVI HAJASHINDA MCHEZO HATA MMOJA.We cheza vikoba
Acha kuongelea mashinda ya kibingwa CAFCL
Na wenyewe watakuachia uwafunge tu?Hata akishinda yeyote yule au hata watoke sara lakini kinachotakiwa kwa Yanga ni kushinda mechi zake zote tatu zilizobakia.
Mama ni yanga peke yake hajashinda mechi hata mojaSasa nyie mbumbumbu, mpo huko dampo mtaelewa Nini kuhusu mambo ya club bingwa
Hujui mechi za ugenini zinachezwaje upo Kwa akina mama
Kuna tofauti kubwa na wanaume wanaoshiriki mambo ya kiumeMama ni yanga peke yake hajashinda mechi hata moja