Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kupitia ukurasa wao wa Twitter, klabu ya Yanga imetoa tangazo kuelekea Nigeria siku ya Ijumaa na Kurudi Jumapili baada ya mechi.
Yanga wamewaomba mashabiki wao kuwasapoti kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Rivers United kupitia ATCL.
Sasa mtu atatoaje kiasi chote cha hela halafu hatoweza kuingia uwanjani kwaajili ya kucheki mechi, hii ni kama wamechanganyikiwa nadhani!
Na baada ya mechi ya Rivers, kituo kinachofata ni Lupaso, Kwa Mkapa dhidibya Simba nadhani ndo wanazidi kupoteana!!
Yanga acheni janja janja😂😂😂