Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
🐸 fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli yeye anakula bata huku wananchi wanaugulia vipigo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yanga hapa kwa kweliii...manara alikuwa sahihi kusema ukimtoa JK na baba yake waliobaki wote hamnazo
Jambo likitangazwa na Club it means uongozi mzima umekaa na kuja na kitu kimoja Very clearHujajibu swali kibonge, lakini na wewe ushaanza kuchanganyikiwa! Ni sehemu gani nimesema nina akili kuzidi uongozi wa yanga? 😀😀
Na wewe siku hizi nilisha acha tabia za ubasha, katafute wengine ili wakupumulie kisogo chakoUshakata tiketi au unabwabwaja tu?
Vibubu kumbe bado vipo jangwan, hivi ile billion 40 ya Azam teh teh teh teh bado haijafika klabuniGood approach ya kurudisha gharama walau kiasi flan... Hapo wanachofanya sababu wanaondoka na ndege ya kukodi na itawasubiria...
Maana yake kwa ndege yenye capacity ya watu 60 na wao labda watakuwa 30 (wachezaj plus viongoz) sababu wamekodi maana yake iko fixed price so kuliko kupata hasara ya seats zingine kuwa wazi ni bora wanachama nao waende ndege ijae
Kama.wamekodi kwa 200m na wao wako 30 maana hake wakipata wengine 30 wa kujaza basi wanaweza wakajikuta wamerudisha walao 50m au hata 100m akili kumbuka biashara GSM mfanyabiashara
Nimependa hii approach big up
NB: swala la malazi ya hoteli au kuruhusiwa au kutokuruhusiwa uingia uwanjan hilo utajua ukifika na kama.utaruhusiwa kiingilio utajua mwenyewe ukifika
Kikubwa onyesha mapenzi kwa team yako na uzalendo kwa taifa[emoji41][emoji41][emoji4][emoji4] ili ukilalamika uwe na sababu sio unalalamika club haijawai kula hata mia yako
Wi wini tugeza we luzi tugeza[emoji41][emoji41]
Kwani issue kujaza au kukodi ndege, vibubu fc mnashida kweli....Yaah wapo sahihi, hapo imekodiwa ndege ya Air Tanzania ambayo itawapeleka na kuwarudisha na maana yake itawasubiri na game ikiisha usiku huo huo ndege inageuza kurudi Bongo
Kinachofanyika ni kuijaza ndege Coz Yanga pekee na viongozi hawawezi kuijaza ndege ile peke yao, kwahyo wanatoa nafasi kwa wapenzi na mashabiki kulipia kwa ajili ya hiyo safari ili kurudisha some cost iliyotumika katika kukodi ndege
Ukisearch CAF mabingwa wa kihistoria inaleta errorHiyo ni kutoka kwenye Official twitter account ya Mabingwa wa kihistoria
Hahahah!! Kocha kaapa kuwapiga si chini ya goli nne.kwa jinsi walivyotingwa sasa ingekuwa ni ndani ya uwezo wao wasingeenda sio kwa biti walilopgwa hvyo wanatafuta huruma ya mashabiki
Yaani mgejaribu kufikiria mambo mengi. Je hao mashabiki mtakua na uhakika nao kama hawatawambukiza wachezaji covid.Just for leisure experience na timu yake, kama shabiki na kama timu na kujaribu kufix gharama ya kukodi Air Tanzania
Hata mimi ningekuwa na huo uwezo wa kiasi hicho ningelipia for my happy ya kusafiri na timu ambayo nina mapenzi nayo
Halafu sio kila kitu wewe ndo unakili na upeo mkubwa kuzidi uongozi wa timu kwenye maswala ya soka
Na wewe tulia hivyo hivyo, sisi tuna jambo letu kule Nigeria na katika ndege tuliokodi tunahitaji watu 46 ili ijae, swala la wanaenda kufanya nini? Ni ss ndo tunajua na muendelee kukaa kwa kutulia makolo nyieYaani mgejaribu kufikiria mambo mengi. Je hao mashabiki mtakua na uhakika nao kama hawatawambukiza wachezaji covid.
Yaani hapa mnaonesha ni jinsi gani hamjajiandaa kwenda kushinda mechi.
Ndege mmekodi mtafika kule mtaenda kuwekwa kalantini sasa badala ya kuanza kuiwazia timu mtaanza kuwawazia mashabiki . CAF wamezuia mashabiki, Afu unasema ni utalii serious. Mnaenda kucheza mechi au mnaenda kutalii?
Kweli nyie ni Mbumbumbu FC!!! ATCL wana route ya kwenda Nigeria?