Mimi nilihisi ni uongo sikutaka kutia neno mpaka niingie official page ya Yanga. Nikakuta tangazo liko hivi hivi. Yaani viongozi wamekuwa weupe vichwani mpaka wanajiabisha. Na hapa ndio sura zao za upigaji unavyojidhihirisha.kweli hii?
Kupitia ukurasa wao wa Twitter, klabu ya Yanga imetoa tangazo kuelekea Nigeria siku ya Ijumaa na Kurudi Jumapili baada ya mechi.
Yanga wamewaomba mashabiki wao kuwasapoti kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Rivers United kupitia ATCL.
Sasa mtu atatoaje kiasi chote cha hela halafu hatoweza kuingia uwanjani kwaajili ya kucheki mechi, hii ni kama wamechanganyikiwa nadhani!
Na baada ya mechi ya Rivers, kituo kinachofata ni Lupaso, Kwa Mkapa dhidibya Simba nadhani ndo wanazidi kupoteana!!
Yanga acheni janja janja[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1937509
aende wamzabue makofi kama wao walivompiga wa kwaoManara ndio kawadanganya
Mshabiki anafaidika na nini kama uwanjani hatoruhusiwa kutazama mechi au kwenda kutalii tu Nigeria?Yaah wapo sahihi, hapo imekodiwa ndege ya Air Tanzania ambayo itawapeleka na kuwarudisha na maana yake itawasubiri na game ikiisha usiku huo huo ndege inageuza kurudi Bongo
Kinachofanyika ni kuijaza ndege Coz Yanga pekee na viongozi hawawezi kuijaza ndege ile peke yao, kwahyo wanatoa nafasi kwa wapenzi na mashabiki kulipia kwa ajili ya hiyo safari ili kurudisha some cost iliyotumika katika kukodi ndege
halafu wakijaza ndegeYaah wapo sahihi, hapo imekodiwa ndege ya Air Tanzania ambayo itawapeleka na kuwarudisha na maana yake itawasubiri na game ikiisha usiku huo huo ndege inageuza kurudi Bongo
Kinachofanyika ni kuijaza ndege Coz Yanga pekee na viongozi hawawezi kuijaza ndege ile peke yao, kwahyo wanatoa nafasi kwa wapenzi na mashabiki kulipia kwa ajili ya hiyo safari ili kurudisha some cost iliyotumika katika kukodi ndege
Hiyo ni kutoka kwenye Official twitter account ya Mabingwa wa kihistoriakweli hii?
Viongozi wanatakiwa kwenda kupimwa akili zaoHalafu mtu atakuja kusema Yanga ina viongozi wenye utimamu. Asa hawa kweli wazima vichwani kweli?
Daah πGood approach ya kurudisha gharama walau kiasi flan... Hapo wanachofanya sababu wanaondoka na ndege ya kukodi na itawasubiria...
Maana yake kwa ndege yenye capacity ya watu 60 na wao labda watakuwa 30 (wachezaj plus viongoz) sababu wamekodi maana yake iko fixed price so kuliko kupata hasara ya seats zingine kuwa wazi ni bora wanachama nao waende ndege ijae
Kama.wamekodi kwa 200m na wao wako 30 maana hake wakipata wengine 30 wa kujaza basi wanaweza wakajikuta wamerudisha walao 50m au hata 100m akili kumbuka biashara GSM mfanyabiashara
Nimependa hii approach big up
NB: swala la malazi ya hoteli au kuruhusiwa au kutokuruhusiwa uingia uwanjan hilo utajua ukifika na kama.utaruhusiwa kiingilio utajua mwenyewe ukifika
Kikubwa onyesha mapenzi kwa team yako na uzalendo kwa taifa[emoji41][emoji41][emoji4][emoji4] ili ukilalamika uwe na sababu sio unalalamika club haijawai kula hata mia yako
Wi wini tugeza we luzi tugeza[emoji41][emoji41]
PovuUnajiona una akili kumbe takataka
Kolo mkubwa peleka shule kocha wenu
Wazima ni wale wanaoajiri kocha mwenye elimu ya MEMKWA.Halafu mtu atakuja kusema Yanga ina viongozi wenye utimamu. Asa hawa kweli wazima vichwani kweli?
Mashabiki wanaenda Nigeria kufanya nini?Yaah wapo sahihi, hapo imekodiwa ndege ya Air Tanzania ambayo itawapeleka na kuwarudisha na maana yake itawasubiri na game ikiisha usiku huo huo ndege inageuza kurudi Bongo
Kinachofanyika ni kuijaza ndege Coz Yanga pekee na viongozi hawawezi kuijaza ndege ile peke yao, kwahyo wanatoa nafasi kwa wapenzi na mashabiki kulipia kwa ajili ya hiyo safari ili kurudisha some cost iliyotumika katika kukodi ndege
π€£π€£π€£ila aliye waloga yanga sijui nani .... siku ile walitangaza mpaka viingilio
Prof mmempa mechi ngapi vile?Wazima ni wale wanaoajiri kocha mwenye elimu ya MEMKWA.
Kwani kuwasindikiza pia imekatazwa π£π£π£Viongozi wana matatizo ya kuwahadaa kila siku mashabiki wao na kuwaona wote misukule. Caf imeshatangaza hakuna washabiki kuingia kushangilia hatua hii ya awali, sasa hao mashabiki wanataka waende kutali tu huko kwa ndg zake Kapumbu wa Nigeria?