Yanga wamechanganyikiwa, oneni hili tangazo

Mimi nilihisi ni uongo sikutaka kutia neno mpaka niingie official page ya Yanga. Nikakuta tangazo liko hivi hivi. Yaani viongozi wamekuwa weupe vichwani mpaka wanajiabisha. Na hapa ndio sura zao za upigaji unavyojidhihirisha.
Kwahyo kiongozi ukajua nakupiga kamba
 
Umeeleza vizuri, lakini CAF wamezuia mashabiki kuingia uwanjani, sasa wanaenda kufanya nini?
 
Great Thinker
 
Wazima ni wale wanaoajiri kocha mwenye elimu ya MEMKWA.
Mkuu mimi ni Yanga lakini sio siri nyie ni miongoni mwa watu mnaotutia aibu na kuonekana kama vile Lucy Eymael alikuwa sahihi vile. Sasa huyo anayebezwa anacheti cha MEMKWA ndio mwenye mafanikio ya kubeba mataji mawili FA na ligi kuu huku kwenye champions league kafika robo fainali. Je huyu Nabi mwenye elimu kubwa kabeba kikombe gani mbele ya huyu wa MEMKWA? Klabu bingwa ndio hiyo inaelekea kuaga mashindano bado unaamini vyeti badala ya uwezo wa mwalimu. Pole sana kwa kushindwa kufikiria.
 
Mshabiki anafaidika na nini kama uwanjani hatoruhusiwa kutazama mechi au kwenda kutalii tu Nigeria?
Hata kusafiri tu timu ni leisure experience kubwa, na kutoa pesa kwa ajili ya Club ambayo una mapenzi nayo sio dhambi
 
Mashabiki wanaenda Nigeria kufanya nini?
Just for leisure experience na timu yake, kama shabiki na kama timu na kujaribu kufix gharama ya kukodi Air Tanzania

Hata mimi ningekuwa na huo uwezo wa kiasi hicho ningelipia for my happy ya kusafiri na timu ambayo nina mapenzi nayo

Halafu sio kila kitu wewe ndo unakili na upeo mkubwa kuzidi uongozi wa timu kwenye maswala ya soka
 

Sasa Timu inayojiita Kubwa Afrika Mashariki na kati iliyomsajili Djuma Shabani kwa 1.5B na kununua Scania kwa 1.2B, inayomlipa Manara Mshahara wa 11M inashindwa kukodi ndege kwa ajili ya Wachezaji wake mpaka ijazwe na Mashabiki?

Kweli Yanga inakosa hela ya kukodi Ndege?
 
Unajiona una akili kumbe takataka
Kolo mkubwa peleka shule kocha wenu
Msipanic tafadhari mashabiki wa Uto tunaomba utulivu wenu kipindi hiki tafadhari.

Tulia hivo hivo wanigeria wanipakatie watu.Hovyo kabisa nafasi yenyewe mmepewa ila mlivyokuwa hamna aibu mnapigwa kwenu uto bhana🐸🐸
 
Kweli nyie ni Mbumbumbu FC!!! ATCL wana route ya kwenda Nigeria?
 
Hujajibu swali kibonge, lakini na wewe ushaanza kuchanganyikiwa! Ni sehemu gani nimesema nina akili kuzidi uongozi wa yanga? πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…