Yanga wamechanganyikiwa, oneni hili tangazo

Wewe ndio pimbi kabisa, Gomes timu kaikuta watu wameshaitengeza, hata angepewa Julio mafanikio hayo yangepatikana.

Credit za huyo mwenye elimu ya hapa na pale aanze sasa hivi zero kilometers, usidhani kila mtu humu ni poyoyo mwenzanko.
 
Ushakata tiketi au wewe viti maalum?
 
Ushakata tiketi au unabwabwaja tu?
 
Kuonyesha mapenzi kwa timu hadi uchangie ticket ni kwenda uwanjani siyo kwenda kukaa nje ya uwanja huku umeacha kazi zako ,mbali na hapo ni ukichaa
 
Wewe ndio pimbi kabisa, Gomes timu kaikuta watu wameshaitengeza, hata angepewa Julio mafanikio hayo yangepatikana.

Credit za huyo mwenye elimu ya hapa na pale aanze sasa hivi zero kilometers, usidhani kila mtu humu ni poyoyo mwenzanko.

Natunza hii coment nitakutafuta baada ya msimu huu kukamilika tuone atakachovuna tena Gomez kama ulivyomtaka aanzie sasa hivi.
 
Huu msukule umekuja na nuksi sana, Ghalib amuondoe haraka kabla wananchi hawajamgawana
 
Issue sio kukosa pesa ya kukodi ndege mkuu ila issue ni namna timu imeamua kuijaza ndege itakayo ondoka na wachezaji na viongozi

And there is no free lunch in Africa, na wala sio lazima, ila ni namna ukiamua kwenda wewe mwenyewe

Na wala sijaona bado logic yako iko wapi hapo katika suala hili

But remember you are not much intelligent to think every club actions are wrong and your thoughts are complete right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…