Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuww daktari na ukahujumu timu, mchezaji ukampa dawa au tiba isiyofaa na kukosa game muhimu nk.Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama.
Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
mbona hili tangazo limekaa kimchongo sana?Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama.
Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
Acha tabia za uWallace Karia za kupangia watu maisha Mkurugenzi.Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama.
Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karia atakutesaaa hadi uharishe damu. KhaaaahAcha tabia za uWallace Karia za kupangia watu maisha Mkurugenzi.
Anakutesa wewe chawa wake bila shaka. Ila kwa upande wangu, Wallace Karia is just a country bumpkin.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karia atakutesaaa hadi uharishe damu. Khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na atakutesa sanaa, mbna badooo hadi upoteaneee. Bumpkin ndo anaongoza Taasisi na huna cha kufanya, unabaki kulia lia.Anakutesa wewe chawa wake bila shaka. Ila kwa upande wangu, Wallace Karia is just a country bumpkin.