Yanga wametangaza nafasi za kazi lakini

Yanga wametangaza nafasi za kazi lakini

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama.

Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
 

Attachments

  • IMG_20220813_134255.jpg
    IMG_20220813_134255.jpg
    120.1 KB · Views: 12
Subiri kanjibai akishamaliza kuajiri ndugu zake na michepuko yake atangaze ukaombe
 
Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama.

Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
Acha tabia za uWallace Karia za kupangia watu maisha Mkurugenzi.

Kama una sifa zilizo ainishwa, jaribu bahati yako. Na kama huna hizo sifa, basi waachie wenzako. Wewe jaribu mahali pengine.

Vigezo na masharti lazima vizingatiwe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karia atakutesaaa hadi uharishe damu. Khaaaah
Anakutesa wewe chawa wake bila shaka. Ila kwa upande wangu, Wallace Karia is just a country bumpkin.
 
Saaafi, yanga wanao wanachama kibao ndani ya nchi hii wenye taaluma mbalimbali, ivyo wachangamkie fursa wale wanaokidhi vigezo, Mambo ya kuajiri mamluki kwenye klabu katiba imeyakataa awana pa kupitia, Ni muda sahihi wa yanga kuendeshwa na wanayanga wenyewe ndo wanaoujua uchungu wa klabu yao, Sasa nafikiri matawi yote yanawajua wanachama wao vizuri wachangamkie fursa wanaokidhi vigezo
 
Anakutesa wewe chawa wake bila shaka. Ila kwa upande wangu, Wallace Karia is just a country bumpkin.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na atakutesa sanaa, mbna badooo hadi upoteaneee. Bumpkin ndo anaongoza Taasisi na huna cha kufanya, unabaki kulia lia.

Poleeeeeeeeeeh, karia yupo sanaaaa na anaongeza dosage kutibu homa yako. Weraaaaaaaaaah.

Ileteeee CAF Arusha, Yanga hawashiriki. Weuweeee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haina shida mm simba naenda kutafuta kadi ya byut byut niende kufanya kazi uko utopoloni maisha popote
 
Bank ya Wote tutatangaza kazi soon, ili uwe na sifa za kuomba lazima uwe una account bank ya Wote.
 
Hyo wanafuata taratibu za ajira tu ila walengwa wa GSM washapatikana mda sana.
 
Back
Top Bottom