Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila mchezaji jana kaenda kivyake, aziz alienda na gari yake, Dube na kuna walioenda na bodaboda.

Msimu uliopita walidroo kaitaba na walijua walikosea wapi, msimu huu wamewaua, Kaitaba kugumu sana kwa Yanga na Simba, hasa Simba pale labda msimu huu, leo kagera wameupiga mwingi sana lkn wanacheza na timu ambayo nje wamejipanga haswaaa.

Rais wao anahakikisha mkoani hawaachi point, wanajua mkoani ndio kwenye ubingwa, Simba tuangalie hili.

Rais wao anaenda mkoani kila mechi kuwaunga mkono, labda awe na ziara nje ya nchi.

Hii timu hapa kwetu sijui, wanaangalia na wameshajiandaa kubeba ndoo ya Afrika na wanaweza.Hatari sana hawa jamaa.
 
Mimi ni shabiki wa yanga. Ila nakataa kwamba yanga bado hatujafikia stage ya kutwaa ubingwa wa champions league. Sisi tuwaze nusu kwanza.

Mamelodi sundowns wametengeneza kikosi cha zaidi ya bilioni 90. Wamenunua wachezaji mpaka south america wa bilioni 6. Ila bado anafeli kubeba Caf champions league kila msimu.

Kutwaa ligi ya mabingwa africa sio kazi nyepesi.

Timu pekee yenye uhakika kutwaa hilo kombe kwa urahisi ni Al ahly peke yake ( kama Real madrid anavyobeba uefa kwa urahisi )

Wengine wote huwa wanalibeba kwa mbinde sana.

Yanga kwanza afike nusu fainali.. kabla hajawaza kubeba kombe

Kuna timu kama Esperence, Raja Casablanca, hizo timu hata zikicheza hovyo hovyo tu kipuuzi huwa hazitolewi na timu level ya yanga.

Muulize mamelodi sundowns ama Petro Luanda shughuli ya kuvuka nusu fainali ilivyo ngumu.
 
Timu pekee yenye uhakika kutwaa hilo kombe kwa urahisi ni Al ahly peke yake..

Wengine wote huwa wanalibeba kwa mbinde sana.

Yanga kwanza afike nusu fainali.. kabla hajawaza kubeba kombe

Kuna timu kama Esperence, Raja Casablanca, hizo timu hata zikicheza hovyo hovyo tu kipuuzi huwa hazitolewi na timu level ya yanga.

Muulize mamelodi sundowns ama Petro Luanda shuhuli ya kuvuka nusu fainali ilivyo.
Pale Jangwani watakaokuelewa ni wawili tu, Mabumunda waliobaki wala hawakuelewa. Subiri waje uone.
 
Sasa kwa nini msiwekewe digizu wakati nyie wenyewe nbc figisu mnaziweza. Huko nako kuna wababe wa figisu kama ahly, huyu mwamba ili yanga ashinde ubinga atoke group stage maana jamaa akishaingia robo tuu anabadilika sana.

Huyo yaoyao tunamkubali lakini siku akutanenna al maloul, aisee hatasubutu kupanda kumwaga cross. Lile litunisia mtu na nusu
 
Mimi ni shabiki wa yanga. Ila nakataa kwamba yanga bado hatujafikia stage ya kutwaa ubingwa wa champions league. Sisi tuwaze nusu kwanza.

Mamelodi sundowns wametengeneza kikosi cha zaidi ya bilioni 90. Wamenunua wachezaji mpaka south america wa bilioni 6. Ila bado anafeli kubeba Caf champions league kila msimu.

Kutwaa ligi ya mabingwa africa sio kazi nyepesi.

Timu pekee yenye uhakika kutwaa hilo kombe kwa urahisi ni Al ahly peke yake ( kama Real madrid anavyobeba uefa kwa urahisi )

Wengine wote huwa wanalibeba kwa mbinde sana.

Yanga kwanza afike nusu fainali.. kabla hajawaza kubeba kombe

Kuna timu kama Esperence, Raja Casablanca, hizo timu hata zikicheza hovyo hovyo tu kipuuzi huwa hazitolewi na timu level ya yanga.

Muulize mamelodi sundowns ama Petro Luanda shughuli ya kuvuka nusu fainali ilivyo ngumu.
Kama Yanga iliweza kucheza bila Pacome, Aucho na Yao na walifanikiwa kuwabana ipasa vyo Mamelody, Kwa nyongeza waliyofanya katika usajili mpya kwanini wasicheze fainali au kutwaa ubingwa!!

Kwa timu iliyopo Yanga, Uwanjani timu ipo vizuri wanachotakiwa kuboresha ni mbinu/ figusu za nje ( Marefa) n.k ilo ndio eneo Wakubwa wa mpira Africa wanalo jivunia.

Tulijionea mfano jinsi Mamelody walivyo watoa Yanga katika hatua ya Robo fainali.
 
Mamelodi mwenyewe uliyemtolea mfano wako huwa havuki nusu fainali

Mamelodi sio kipimo cha kucheza fainali. Maana hata mamelodi huwa anatolewa tu nusu fainali ama robo fainali.

Caf champions league inachezwa kimkakati sana. Ndio maana fainali huwa zinafika timu zile zile mara kwa mara.

Kwenye hatua ya makundi Pacome alicheza mechi zote 6.

Ila bado yanga haikushinda mechi zote.

Ilishinda mechi 2 tu katika mechi 6 za makundi.

Huo ni ushahidi wa wazi kwamba hata acheze nani. Kutwaa ubingwa sio rahisi
 
Mimi ni shabiki wa yanga. Ila nakataa kwamba yanga bado hatujafikia stage ya kutwaa ubingwa wa champions league. Sisi tuwaze nusu kwanza.

Mamelodi sundowns wametengeneza kikosi cha zaidi ya bilioni 90. Wamenunua wachezaji mpaka south america wa bilioni 6. Ila bado anafeli kubeba Caf champions league kila msimu.

Kutwaa ligi ya mabingwa africa sio kazi nyepesi.

Timu pekee yenye uhakika kutwaa hilo kombe kwa urahisi ni Al ahly peke yake ( kama Real madrid anavyobeba uefa kwa urahisi )

Wengine wote huwa wanalibeba kwa mbinde sana.

Yanga kwanza afike nusu fainali.. kabla hajawaza kubeba kombe

Kuna timu kama Esperence, Raja Casablanca, hizo timu hata zikicheza hovyo hovyo tu kipuuzi huwa hazitolewi na timu level ya yanga.

Muulize mamelodi sundowns ama Petro Luanda shughuli ya kuvuka nusu fainali ilivyo ngumu.
Kuna siri fulani hivi inayoleta tabia ya kufika stage fulani kwa timu mpaka inakuwa kawaida.
 
Mamelodi mwenyewe uliyemtolea mfano wako huwa havuki nusu fainali

Mamelodi sio kipimo cha kucheza fainali. Maana hata mamelodi huwa anatolewa tu nusu fainali ama robo fainali.

Caf champions league inachezwa kimkakati sana. Ndio maana fainali huwa zinafika timu zile zile mara kwa mara.

Kwenye hatua ya makundi Pacome alicheza mechi zote 6.

Ila bado yanga haikushinda mechi zote.

Ilishinda mechi 2 tu katika mechi 6 za makundi.

Huo ni ushahidi wa wazi kwamba hata acheze nani. Kutwaa ubingwa sio rahisi
Kuna kubahatisha kufika fainali au kuchukua kombe, ila kurudia kufika fainali mara tatu, nne, tano hiyo ni tabia. Ni kama Simba, ni kama imejenga tabia ya kufika robo fainali.
 
Uzoefu ni factor kubwa. Ndio maana hata kwenye ajira wanasema tunataka mwenye uzoefu. Yanga bado hana uzoefu.

Je ni Timu gani imewai kuchukua kombe la Caf champions league kwa kubahatisha ?
 
Sijui kama tutafikia mafanikio ya msimu uliopita ila mamelodi walitukatili sana.
 
Mimi nahisi yanga itafika nusu fainali msimu huu.

Hivyo mafanikio yatakuwa makubwa kuliko mwaka jana.

Na nahisi mamelodi tutapangwa nae kundi moja. Kwenye hatua ya makundi
 
Mimi ni shabiki wa yanga. Ila nakataa kwamba yanga bado hatujafikia stage ya kutwaa ubingwa wa champions league. Sisi tuwaze nusu kwanza.

Mamelodi sundowns wametengeneza kikosi cha zaidi ya bilioni 90. Wamenunua wachezaji mpaka south america wa bilioni 6. Ila bado anafeli kubeba Caf champions league kila msimu.

Kutwaa ligi ya mabingwa africa sio kazi nyepesi.

Timu pekee yenye uhakika kutwaa hilo kombe kwa urahisi ni Al ahly peke yake ( kama Real madrid anavyobeba uefa kwa urahisi )

Wengine wote huwa wanalibeba kwa mbinde sana.

Yanga kwanza afike nusu fainali.. kabla hajawaza kubeba kombe

Kuna timu kama Esperence, Raja Casablanca, hizo timu hata zikicheza hovyo hovyo tu kipuuzi huwa hazitolewi na timu level ya yanga.

Muulize mamelodi sundowns ama Petro Luanda shughuli ya kuvuka nusu fainali ilivyo ngumu.
Wewe ni mbumbumbu fc kama yanga alifika fainali shirikisho na mwaka Jana kafika robo fainali klabu bingwa katolewa Kwa figisu na hao Al ahly unaosema wanalibeba kirahisi kombe ila walipata Gori 1 tu Kwa wakiwa kwao wakicheza na yanga ambayo Haina uzoefu je msimu huu ishapata uzoefu wanaweza kupata hata halo kagori kamoja wewe ni kolo uliechanganyikiwa Kwa kupigwa Gori Tano yanga uwezo wa kubeba ubingwa wa Africa anao ni mipango tu wewe hujui mpira
 
Mimi nahisi yanga itafika nusu fainali msimu huu.

Hivyo mafanikio yatakuwa makubwa kuliko mwaka jana.

Na nahisi mamelodi tutapangwa nae kundi moja. Kwenye hatua ya makundi
Mbumbumbu fc endelea kuhisi ila raisi wa yanga kasema anaenda kulibeba Hilo kombe wewe endelea kuhisi umechanganyikiwa na kichapo Cha Gori 5 mpaka unahisi his hovyo mpira hauna habari za kuhisi
 
Back
Top Bottom