Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

Mimi ni shabiki wa yanga. Ila nakataa kwamba yanga bado hatujafikia stage ya kutwaa ubingwa wa champions league. Sisi tuwaze nusu kwanza.

Mamelodi sundowns wametengeneza kikosi cha zaidi ya bilioni 90. Wamenunua wachezaji mpaka south america wa bilioni 6. Ila bado anafeli kubeba Caf champions league kila msimu.

Kutwaa ligi ya mabingwa africa sio kazi nyepesi.

Timu pekee yenye uhakika kutwaa hilo kombe kwa urahisi ni Al ahly peke yake ( kama Real madrid anavyobeba uefa kwa urahisi )

Wengine wote huwa wanalibeba kwa mbinde sana.

Yanga kwanza afike nusu fainali.. kabla hajawaza kubeba kombe

Kuna timu kama Esperence, Raja Casablanca, hizo timu hata zikicheza hovyo hovyo tu kipuuzi huwa hazitolewi na timu level ya yanga.

Muulize mamelodi sundowns ama Petro Luanda shughuli ya kuvuka nusu fainali ilivyo ngumu.

Yanga malengo ya msimu huu ni robo fainali, msimu uliopita ilikuwa makundi
 
Taja first eleven na marefa wa hizo mechi kama unawajua dondoo za nini mzee mbona kelele nyingi halafu Mimi nikutajie ya kwangu niliyokurarua 5 naona umepagawa sababu haujui first eleven ya hizo mechi Wala marefa hahahaha wewe kweli kilazaaaaaa hizo mechi hazijulikani maana hata first eleven huijui🤣🤣🤣🤣🤣
Nafikiri lilipaswa nizungumze na Baba yako sio wewe mtoto.
 
Nafikiri lilipaswa nizungumze na Baba yako sio wewe mtoto.
Hizo mechi hazijulikani sababu umeshindwa kutaja hata first eleven za wachezaji hahahaha 🤣🤣🤣🤣 Kono la nyani umelipokea mbumbumbu wewe 5555🤣🤣🤣
 
Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila mchezaji jana kaenda kivyake, aziz alienda na gari yake, Dube na kuna walioenda na bodaboda.

Msimu uliopita walidroo kaitaba na walijua walikosea wapi, msimu huu wamewaua, Kaitaba kugumu sana kwa Yanga na Simba, hasa Simba pale labda msimu huu, leo kagera wameupiga mwingi sana lkn wanacheza na timu ambayo nje wamejipanga haswaaa.

Rais wao anahakikisha mkoani hawaachi point, wanajua mkoani ndio kwenye ubingwa, Simba tuangalie hili.

Rais wao anaenda mkoani kila mechi kuwaunga mkono, labda awe na ziara nje ya nchi.

Hii timu hapa kwetu sijui, wanaangalia na wameshajiandaa kubeba ndoo ya Afrika na wanaweza.Hatari sana hawa jamaa.
Mzee wa kujifariji
 
Makolo mmeshinda Mechi 2 huku mkiwa na goli 7 lakini ni kama mna muhaho!

Yanga ndo kwanza gemu ya kwanza mmeshaanza kutoa milio!
Milio ilianzia yanga, eti simba wamepewa mechi rahisi za kuanza nazo .
 
Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila mchezaji jana kaenda kivyake, aziz alienda na gari yake, Dube na kuna walioenda na bodaboda.

Msimu uliopita walidroo kaitaba na walijua walikosea wapi, msimu huu wamewaua, Kaitaba kugumu sana kwa Yanga na Simba, hasa Simba pale labda msimu huu, leo kagera wameupiga mwingi sana lkn wanacheza na timu ambayo nje wamejipanga haswaaa.

Rais wao anahakikisha mkoani hawaachi point, wanajua mkoani ndio kwenye ubingwa, Simba tuangalie hili.

Rais wao anaenda mkoani kila mechi kuwaunga mkono, labda awe na ziara nje ya nchi.

Hii timu hapa kwetu sijui, wanaangalia na wameshajiandaa kubeba ndoo ya Afrika na wanaweza.Hatari sana hawa jamaa.
swala la makombe ya afrika kunyakuliwa na yanga msimu huu halipingiki...
 
Back
Top Bottom