Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kuna wataalamu wnasema anashambulia sna anasahau kulinda. Kesho utasikia njia nzuri ya kulinda ni kushambulia.. bongo nyosoSasa wewe unayeujua mpira mbona sijaona ukielezea kitaalamu wanatakiwa kucheza vipi?
Huko kucheza technically ndio kukoje?
Kuna shida gani katika mfumo, wanatakiwa wabadili kwenda mfumo gani, wakishambulia waende vipi na wakati wa kushambuliwa wajilinde vipi.
Vyote hujaelezea zaidi ya kuongea yasiyo na maana. Wakati mwingine mjaribu kutafakari kabla ya kuanzisha thread, msituchoshe kusoma ujinga inakera.