Yanga wanacheza kwa papara, jazba na kukamia, hawajui mpira

Yanga tunanacheza pira kali sana, linaitwa pira mbele kwa mbele. Tunaishi slogan yetu ya nyuma mwiko ndiomana hatulindi ni kukimbia tu kama marathon, naona tukifika mbali sana maana huwa hata chenga tunashangilia kama wehu .
 
Mimi shabiki wa simba napata wapi nguvu za kumsema mtu alinipiga 5?, napata wapi nguvu za kuisema team flani wakati team yangu nimeisusa kama mwanamke?. Natoa wapi moyo wa kuisema timu ambayo inacheza mpira wa kuvutia? Natoa wapi nguvu za kuisema yanga wakati kwengu bado sijajua shida iko wapi kati ya viongozi, wachezaji, kocha au uchawi
 
peleka utopolo huko wew uto pro max snitch mkubwa
 
Wanakamia kama vile wanacheza Ndondo Cup
 
Hata Rais wa FIFA alisema timu yetu inacheza vizuri kuliko Mamelodi sundowns
 
Mzee mbona kama umetoroka milembe🤪,,huyo al ahly si tumecheza nae mwez wa 10 mbon hakushnda gem hata moja
kwani kwenye kundi al ahly kamfunga yanga?na kama swala la simba kutofungwa na al ahly ila nani kanufaika na hayo matokeo?
 
Ndo utajijibu mwenyewe,hapo juu ulsema simba angecheza na hzo tim znazokunyoosha asingepata hata point moja.kaa ukijua simba asha ongoza kundi mbele ya huyo mbabe wenu al ahly wala al ahly hajawahi kuwa kikwazo kwa simba ,wew belouzdad tu anakupakata 😁
 
usijitoe ufahamu simba iliongoza kundi kipindi kile ilikuwa kitu kingine kabisa usifananishe na simba ya sasa kikundi cha wahuni kwa boilizdad haipati hata point moja
 
Kila mtz ni mchambuzi aisee..

Sijaona hata facts moja uliyogusua kama title yako inavyosema.

Anyways!! Tukatane GW6 ambapo mbichi na mbivu zitakua zishajulikana.
 
Back
Top Bottom