Yanga wanacheza kwa papara, jazba na kukamia, hawajui mpira

Kuna wataalamu wnasema anashambulia sna anasahau kulinda. Kesho utasikia njia nzuri ya kulinda ni kushambulia.. bongo nyoso
 
Uto wanakuja na uzoefu toka michuano ya losers!! Matokeo yake watajuta kuingia makundi caf champions league!! Kessho medeama atajimegea kwa kadri ya njaa yake!! Akitaka 1 sawa, akitaka 2 sawa na akitaka 3 au zaidi sawa pia!!
 
Yanga wanacheza pira samba, sisi wahenga tunalijua pira hili lilichezwa na brazil michezo ya world cup 1994 wewe hujazaliwa.
yaani pira la kufunguka mwanzo mwisho. ni bahati tu haiko upande wao ndio mana wamepoteza. 2 matches. lakini
wakiendeleza pira hili msimu ujao fainali inawahusu. Note. mpira wanaocheza simba hauvutii hata kuutazama kwenye tv. yaani kama ndondo fulani hivii. Huu ndio ukweli ukikataa nafsi inakusuta.
 
Formula ambayo haina matokeo chanja inaruhusu tatu bila maana yake sawa sawa na kutumia treni ya mkaa kwa kushindani na treni za umeme..wewe mwenyewe umesema ni formula ya 1994 ni mbali sana aisee
 
Yaan makolo toka tuwapige zile tano bado mnaweweseka[emoji23] na bado nyau nyie kesho lazima tumpige medeama,ili roho ziendelee kuwauma nyau nyie[emoji35]
 
Umeandika kama mtu unayeufahamu mpira au umeandika kama shabiki wa simba tu? Tuanzie hapa.

Mamelod soka wanalocheza ndo hilo hilo iwe hom au away hao waarabu waga ni waoga ndomna mechi zao zote wote wakiwa away hawafunguki.

Yanga inacheza soka linaonekana ww unakifariji kishabiki!! Pole sasa pimbi ww
 
Yanga kesho inapigwa kuanzia 2 kuendlee tupo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…