Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Ungemjibu mleta uzi kwanza kabla ya huyu muungwana maana inatakiwa umjibu mjinga sawa sawa na ujinga wake, lakini sababu Makolo ndivyo mlivyo, lazima ulitetee Kolowizard lenzio, basi pole sana Kolowizard [emoji28]Muwe na akiba ya maneno basi, mechi moja tu ndio mnajipa ujiko kiasi hiki?
Mara shazi sanaNyie hio akiba hua mnayo?
Aisee..hakuna kupumzika..ni mwendo wa kuvunjiana kunguniMmeanza tena😅
Yaani kua ng'ombe Ana akili kuliko mtoa mada 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watuache tupumue hata, dahAisee..hakuna kupumzika..ni mwendo wa kuvunjiana kunguni
Ndy maana yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Yaani kua ng'ombe Ana akili kuliko mtoa mada [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata yule Delicious alianza hivi hivi mwisho wa siku anauchezea moto saivWakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Mnafiki mchawi mzandiki mfitini huna maana na ulieaibika kwa ushabiki maandaziWakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Unataka mwiko eeeehHata yule Delicious alianza hivi hivi mwisho wa siku anauchezea moto saiv
Mbona babra na big wanampenda sana kibunenga?Hao siyo wachezaji tena huyo msenge Kibu Denis namchukia sana.
Hahaha mashabili ya Milia bin mbumbumbu,mlifikia hatua ya kumfananisha na Mayele leo mnamuita msenge mamamaeeHao siyo wachezaji tena huyo msenge Kibu Denis namchukia sana.
LOST IN THE MIDST.Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Kumbe Bado mchongoma una wawashaShida ya maumivu kama haya huwa yanaishaga taratibu sana yaani.
Hapa hadi maumivu yaishe tutasikia porojo nyingi sana kutoka kwenu.
Nyuzi zao tu huko majukwaani zinaonyesha hivyo Mkuu.Kumbe Bado mchongoma una wawasha
Yote kayataka zalan haya mambo mji ungepoa mda mrefu tuWakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.