Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani kua ng'ombe Ana akili kuliko mtoa mada 🤣🤣🤣
 
Wakuu najua hata wao hawelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele Yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Mnafiki mchawi mzandiki mfitini huna maana na ulieaibika kwa ushabiki maandazi
 
Hatuwashangai na kauli zenu za dua la kuku mara baada ya kutoka Sare na wale waarabu maneno yalikuwa mengi Sana , mlimaliza kila Aina ya kejeli as if Yanga ilifungwa . Sasa hivi imeingia makundi mnaleta tena ngonjera zenu my friends football is the matter of preparation, determination,and commitment suala la historia ni kitu cha ziada ktk football sasa nyinyi endeleeni kukariri mwisho wa siku aibu hiyo itakuja kwenu mkala tano tano kisha mkatolewa na Yanga ikafuzu . Hivi mlitegemea Yanga kumfunga Club Africain kule kwao ? Ukweli NI kuwa hamkutegemea na ndio maana kabla ya hiyo mlimaliza maneno yote wengine walidiriki kuweka ahadi ya kutoka tigo zao 😝 kama Yanga wangeshinda mechi hiyo at the end of the day Yanga katusua sasa je ingekuwa NI ahadi ya jino kwa jino si tungezalisha mashoga wengine baada ya hiyo mechi . Endeleeni kukariri I am sure Young Africans will continue to prove wrong .
 
Mmeanza Ramli mpya,baada ya kufungwa Tunisia kushindwa,
Watu wengine mnashangaza kweli
 
Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
Yote kayataka zalan haya mambo mji ungepoa mda mrefu tu
 
Back
Top Bottom