Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

Yanga msimu huu imeonesha kuwa ni timu inayocheza vizuri ugenini kuliko nyumbani. Wanatawala mchezo kuliko mwenyeji. Kuna mambo madogo sana kiufundi ya kuweka sawa baada ya hapo tutakuja kushuhudia Yanga inayokupigia kokote pale iwe nyumbani au ugenini.
 
Yanga msimu huu imeonesha kuwa ni timu inayocheza vizuri ugenini kuliko nyumbani. Wanatawala mchezo kuliko mwenyeji. Kuna mambo madogo sana kiufundi yakuweka sawa baada ya hapo tutakuja kushuhudia Yanga inayokupigia kokote pale iwe nyumbani au ugenini.
Muwe na akiba ya maneno basi, mechi moja tu ndio mnajipa ujiko kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom