joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sawa unashika nafasi ya ngapi wewe kama ww,halafu utofauti wako na Yanga upo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa unashika nafasi ya ngapi wewe kama ww,halafu utofauti wako na Yanga upo wapi?
Tofauti simba ana point 6 na mwiko nyuma mna point 1 mkishika mkia au huoni tofauti kisa una mwiko nyuma? 🤣🤣🤣Sawa unashika nafasi ya ngapi wewe kama ww,halafu utofauti wako na Yanga upo wapi?
View attachment 3189450
Utofauti upo wapi kwani wanaofuzu wanashika nafasi ya ngapi?Tofauti simba ana point 6 na mwiko nyuma mna point 1 mkishika mkia au huoni tofauti kisa una mwiko nyuma? 🤣🤣🤣
Na akili zako fupi tu unashindwa kujua tofauti? 🤣🤣🤣Utofauti upo wapi kwani wanaofuzu wanashika nafasi ya ngapi?
Kwani una hika nafasi ya ngapi? au unajitoa ufahamu. Maana wanaofuzu wa pili na wa kwanza.Na akili zako fupi tu unashindwa kujua tofauti? 🤣🤣🤣
Simba kashinda mechi 2 kafungwa 1 na ana point 6
Mwiko nyuma kafungwa 2 na kasare 1 ana point 1
CHomoa kwanza huo MWIKO huko nyuma utaona tofauti vizuri la sivyo 🤣
Bravo kwao nachukua point 3Kwani una hika nafasi ya ngapi? au unajitoa ufahamu. Maana wanaofuzu wa pili na wa kwanza.
Mpira wa kwenye makaratasi kila timu ina nafasi hata Mimi mechi zote na chukua points tisa.Bravo kwao nachukua point 3
Cs faxien kwao nachukua point 3
Costantine kwetu napiga au na sare
Nipe hesabu zenu au kama vipi
JIshikilie vizuri na MWIKO wako nyuma 🤣
Asiyewahi kufungwa 5 na Yanga apite mbeleligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia.
kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza mtelemko, Kipimo cha ukweli ni mechi za kimataifa (MECHI 3 POINT 1)
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024
Unajipa matumaini tu CAFCL mnaishia MAKUNDU-CHIMpira wa kwenye makaratasi kila timu ina nafasi hata Mimi mechi zote na chukua points tisa.
Nikimaliza kwenye CAF na rudi kwenye ligi kukupelekea moto maana na kupumulia kwa nyuma.
Asiyewahi kufungwa 5 na Yanga apite mbele
Mimi na kutaka wewe na ndio maana nimekugonga mara nne mfululizo na bado na kupelekea moto kwa nyuma na kusbiri round ya pili ni kugonge mara tano.Unajipa matumaini tu CAFCL mnaishia MAKUNDU-CHI
huku umeshindwa kupeleka moto kwa tabora united utaiweza simba acha kuota amka utajikojolea 🤣
WE umezoea kuteswa na MWIKO WAKO NYUMA unaona kila mtu ana mwiko nyumaMimi na kutaka wewe na ndio maana nimekugonga mara nne mfululizo na bado na kupelekea moto kwa nyuma.
Hata wewe utaishia makundi.
Tuliza kiuno hiko mwanaume nipo nyuma na kupumulia hizi kelele zinaonesha najua kupeleka moto mpaka hujiamini kileleni.WE umezoea kuteswa na MWIKO WAKO NYUMA unaona kila mtu ana mwiko nyuma
We tuliza shanga zako
Hii record huwa UTO wanajitoa ufahamu nakuamini hajawahi kupata kipigo Cha mbwa Koko kutoka Kwa Mnyama.
Sisi Simba tunafunga kwa penalty tuligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia.
kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza mtelemko, Kipimo cha ukweli ni mechi za kimataifa (MECHI 3 POINT 1)
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024
Subiri gemu zote ziishe ndiyo utakuwa na lakusema,kwa maana tunaweza kushinda gemu zilizobaki ukakosa la kusema.Kimataifa vp ??
Maskin Nyau fc anachanganikiwa na akikumbuka ana pointing 3 za Yangaligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia.
kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza mtelemko, Kipimo cha ukweli ni mechi za kimataifa (MECHI 3 POINT 1)
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024