Supu ya moto Moto ndio tamu sio kusubilia ipoeIlipaswa ifike kabisa hiyo tarehe 15 kisha ndio tarehe 25 itangazwe,
Hii sijaipenda
Dah, vibaya hivyo jamani 🤣Ilipaswa ifike kabisa hiyo tarehe 15 kisha ndio tarehe 25 itangazwe,
Hii sijaipenda
Mleteni huyo Mpanzu wenu, mlisema tunamuogopa Sasa mlete tuwafunge vizuriBodi imevunjwa? Ujinga full
Tunaomba wale ndugu zetu wa Simba waendelee kutumia nguvu Ile Ile waliyokuwa wanatumia kuitangaza mechi ya trh 15 wakati wao sio wenyeji wa mchezo waendelee nayo ivyo ivyo kwenye mechi ijayo ya Tarehe 25!
Kwasasa zile point za mezani zilizokuwa zinapigiwa hesabu bila kutoa jasho uwanjani zimeshindikana Rasmi,
Na mpango wa kubeba ata kikombe cha kahawa msimu huu umekufa kifo cha kawaida!
Soma Pia: Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025
HII YA TRH 25 TUNACHEZA HAINA KIPENGELE
Mkuu japo ww ni Yanga mi ni Simba ila ukweli ni kwamba mashabiki ndo tunaonekana matahira... Mkuu kweli tushabikie kwa tahadhali, ona sasa viongozi wa simba na yanga wameenda kuelewana na rais bila hata kuwashirikisha mashabiki.. Mashabiki ni kimdomo tu hawana influence yoyote kwenye hizi timu.Sema tu nilichogundua, hizi timu mbili kongwe nchini tunatakiwa kuzishabikia kwa tahadhari kubwa sana.
Maana viongozi wake wengi wamekuwa wakizitumia kama madaraja ya kufikia malengo yao binafsi ya kisiasa na kiuchumi, kwa kishirikiana na chama cha majambazi.
Na ndiyo maana miaka zaidi ya 80 hazina hata viwanja vyao binafsi! Halafu za kawaida tu kama Azam Fc na KMC zimeanzishwa miaka ya 2000! Zina viwanja vyao binafsi!
Nliwahi kusema, ikiitwa DERBY YA MAMA, lazima watikiTunaomba wale ndugu zetu wa Simba waendelee kutumia nguvu Ile Ile waliyokuwa wanatumia kuitangaza mechi ya trh 15 wakati wao sio wenyeji wa mchezo waendelee nayo ivyo ivyo kwenye mechi ijayo ya Tarehe 25!
Kwasasa zile point za mezani zilizokuwa zinapigiwa hesabu bila kutoa jasho uwanjani zimeshindikana Rasmi,
Na mpango wa kubeba ata kikombe cha kahawa msimu huu umekufa kifo cha kawaida!
Soma Pia: Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025
HII YA TRH 25 TUNACHEZA HAINA KIPENGELE
Watachezaje wakati bodi haijavunjwa?, aliyepiga simu hajulikani?, mafao hawajalipwa, wasicheze😀. Mpaka mwanamke awaambie wacheze ndio wanacheza yaani Hawa wepesi sana yaani🤣