Yanga watafika fainali CAFCC

Yanga watafika fainali CAFCC

Hata mie nakubali kule CAFCC hakuna team za kutisha mwaka huu, Yanga wakichanga karata vizuri wanafika Final km sio kuchukua kombe kabisaa.

Team nayoona inaweza kuizuia Yanga ni Pyramids tyuuh, wale wengine anawapiga nje ndani (akiwa serious).
 
Mpira mwepesi sana mdomoni
 
Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO.

This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
Akili akili akili mtu wangu..,
 
Yanga wanafika mbali mwaka huu..
Sisi Simba tulichezea nafai ya kufika mbali tulipocheza na kaizer Chief...
 
Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO.

This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
Wakifika Fainali watakua wameifikia hatua ambayo Simba alifika miaka 30 Iliopita( 1993...Finali ya Shirikisho dhidi ya Stella Abidjan).Kila mafanikio kwa ngazi ya klabu Africa hapa Tanzania,Simba ndio ilifungua na kutengeneza njia. Caf wanavyoiita Giant wanamaanisha😎
 
Hata mie nakubali kule CAFCC hakuna team za kutisha mwaka huu, Yanga wakichanga karata vizuri wanafika Final km sio kuchukua kombe kabisaa.

Team nayoona inaweza kuizuia Yanga ni Pyramids tyuuh, wale wengine anawapiga nje ndani (akiwa serious).
Sawa
 
Wakifika Fainali watakua wameifikia hatua ambayo Simba alifika miaka 30 Iliopita( 1993...Finali ya Shirikisho dhidi ya Stella Abidjan).Kila mafanikio kwa ngazi ya klabu Africa hapa Tanzania,Simba ndio ilifungua na kutengeneza njia. Caf wanavyoiita Giant wanamaanisha😎
Tukichukua na kombe je!?
 
Back
Top Bottom