Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Kwa nini mwaka huu hakuna timu za kutisha? Timu hizo zinazotisha zimekwenda wapi mwaka huu? Ndio tuseme somba amefika hapo kwa vile anatisha ila Yanga wamekutana na vibonde? Labda mtuambie pia mwaka gani CAFCC kulikuwa na timu za kutisha.Hata mie nakubali kule CAFCC hakuna team za kutisha mwaka huu, Yanga wakichanga karata vizuri wanafika Final km sio kuchukua kombe kabisaa.
Team nayoona inaweza kuizuia Yanga ni Pyramids tyuuh, wale wengine anawapiga nje ndani (akiwa serious).
Waswahili kwa kupindisha maneno hamjambo, mnaona tasbi sana kusema mwaka huu Yanga wana nafasi nzuri kutwaa kombe kwa sababu wana kikosi bora. Punguzeni dharau, kumbukeni hata kwenye ligi ya ndani Yanga wanaweka rekodi nyingi tu, wako vizuri.