Askari_Mwana
Member
- Jun 21, 2022
- 28
- 81
Huyu Far Rabat yupo juu ya Wydad na Raja, unasemaje wa kawaida?[emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuivuka historia ya Simba maana yake ni kuchukua ubingwa. Kumbuka, Simba ilishawahi kufika fainali ya kombe la CAF 1993Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA.
Hata nyie mngechukua kosa lenu likuwa kuota na moto katikati ya uwanja mkasahahu mpira ni sayansi.Hata mie nakubali kule CAFCC hakuna team za kutisha mwaka huu, Yanga wakichanga karata vizuri wanafika Final km sio kuchukua kombe kabisaa.
Team nayoona inaweza kuizuia Yanga ni Pyramids tyuuh, wale wengine anawapiga nje ndani (akiwa serious).
CAF confederation cup imeanzishwa mwaka 2004Utopolo huiwezi kuipita Simba, Kama ni Fainali Ya Maluza Simba ilishafika Mwaka 1993, Wewe Wakati huo ulikuwa bado Mdogo...!
Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO.
This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
Tusubiri tuoneeYetu macho..
Lakini me naona Yanga ana nafasi kubwa ya kufanya maajabu. Akiwa serious lakini
Na nyie hiyo Sayansi zamani mlikua hamuijui??Hata nyie mngechukua kosa lenu likuwa kuota na moto katikati ya uwanja mkasahahu mpira ni sayansi.
Wacha tuoneee.
Kombe la wajane hilo[emoji3][emoji39][emoji14][emoji2][emoji14][emoji39][emoji3][emoji39][emoji14][emoji2]Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO.
This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
Simba hajawahi kufika fainali ya SHIRIKISHO kasome tena mashindano yale yalijulikana vipi.Wakifika Fainali watakua wameifikia hatua ambayo Simba alifika miaka 30 Iliopita( 1993...Finali ya Shirikisho dhidi ya Stella Abidjan).Kila mafanikio kwa ngazi ya klabu Africa hapa Tanzania,Simba ndio ilifungua na kutengeneza njia. Caf wanavyoiita Giant wanamaanisha😎
Ndugu Mbumbumbu kwanza unatakiwa ujue CAF confederation cup lilianzishwa Lini usikurupuke. Mashindano yalianzishwa 2004 Sasa iyo 1993 inaingiza vipi apo?Kuivuka historia ya Simba maana yake ni kuchukua ubingwa. Kumbuka, Simba ilishawahi kufika fainali ya kombe la CAF 1993
Na usisahau kuwaambia Vipers kampiga Yanga 2 kwa yai hapo kwa mkapa. Wakibisha nimekaa palee.Yanga wanajiona wako vzr baada kumshinda tp mazembe iliyoisha, kumbukeni mazembe alikua, raund champions lg, akatolewa na vipers, ambayo imepigwa nje na ndani na simba.
Na utambue Simba imekua ikitandikwa na Yanga apo Kwa Mkapa Kwa kadri Yanga anavyo jisikia.Na usisahau kuwaambia Vipers kampiga Yanga 2 kwa yai hapo kwa mkapa. Wakibisha nimekaa palee.
Achana na miaka ya 93 tupo 2023 mkuuKuivuka historia ya Simba maana yake ni kuchukua ubingwa. Kumbuka, Simba ilishawahi kufika fainali ya kombe la CAF 1993
Kwamba Yanga amechukua kombe la shirikisho 2023?Achana na miaka ya 93 tupo 2023 mkuu
Ukae tu pembeni uwaachie wanaojua kutoka Kombe la CAF hadi shirikishoNdugu Mbumbumbu kwanza unatakiwa ujue CAF confederation cup lilianzishwa Lini usikurupuke. Mashindano yalianzishwa 2004 Sasa iyo 1993 inaingiza vipi apo?