Yanga watafika fainali CAFCC

Yanga watafika fainali CAFCC

Hata mie nakubali kule CAFCC hakuna team za kutisha mwaka huu, Yanga wakichanga karata vizuri wanafika Final km sio kuchukua kombe kabisaa.

Team nayoona inaweza kuizuia Yanga ni Pyramids tyuuh, wale wengine anawapiga nje ndani (akiwa serious).
Kwa nini mwaka huu hakuna timu za kutisha? Timu hizo zinazotisha zimekwenda wapi mwaka huu? Ndio tuseme somba amefika hapo kwa vile anatisha ila Yanga wamekutana na vibonde? Labda mtuambie pia mwaka gani CAFCC kulikuwa na timu za kutisha.

Waswahili kwa kupindisha maneno hamjambo, mnaona tasbi sana kusema mwaka huu Yanga wana nafasi nzuri kutwaa kombe kwa sababu wana kikosi bora. Punguzeni dharau, kumbukeni hata kwenye ligi ya ndani Yanga wanaweka rekodi nyingi tu, wako vizuri.
 
Utopolo huiwezi kuipita Simba, Kama ni Fainali Ya Maluza Simba ilishafika Mwaka 1993, Wewe Wakati huo ulikuwa bado Mdogo...!
Simba haijawahi fika shirikisho babu,1993 ilikua kombe la fisadi mashud abiola,final shirikisho 1993 alicheza Al ahly na Africa sports
 
Wakifika Fainali watakua wameifikia hatua ambayo Simba alifika miaka 30 Iliopita( 1993...Finali ya Shirikisho dhidi ya Stella Abidjan).Kila mafanikio kwa ngazi ya klabu Africa hapa Tanzania,Simba ndio ilifungua na kutengeneza njia. Caf wanavyoiita Giant wanamaanisha😎
Simba haijawahi fika shirikisho final,1993 final alicheza Al ahly na Africa sports,Simba na Stella ilikua kombe la bonanza Kama la hedex lililoanzishwa na mashud abiola
 
Far Rabat anaongoza ligi huko kwao mimi ni utopolo ila tuwe Makini Sana aisee tusije poteana huko mbele
 
Back
Top Bottom