Yanga watafika fainali CAFCC

Hata mie nakubali kule CAFCC hakuna team za kutisha mwaka huu, Yanga wakichanga karata vizuri wanafika Final km sio kuchukua kombe kabisaa.

Team nayoona inaweza kuizuia Yanga ni Pyramids tyuuh, wale wengine anawapiga nje ndani (akiwa serious).
 
Mpira mwepesi sana mdomoni
 
Akili akili akili mtu wangu..,
 
Yanga wanafika mbali mwaka huu..
Sisi Simba tulichezea nafai ya kufika mbali tulipocheza na kaizer Chief...
 
Wakifika Fainali watakua wameifikia hatua ambayo Simba alifika miaka 30 Iliopita( 1993...Finali ya Shirikisho dhidi ya Stella Abidjan).Kila mafanikio kwa ngazi ya klabu Africa hapa Tanzania,Simba ndio ilifungua na kutengeneza njia. Caf wanavyoiita Giant wanamaanisha😎
 
Hata mie nakubali kule CAFCC hakuna team za kutisha mwaka huu, Yanga wakichanga karata vizuri wanafika Final km sio kuchukua kombe kabisaa.

Team nayoona inaweza kuizuia Yanga ni Pyramids tyuuh, wale wengine anawapiga nje ndani (akiwa serious).
Sawa
 
Tukichukua na kombe je!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…