Yanga watafika fainali CAFCC

Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA.
Kuivuka historia ya Simba maana yake ni kuchukua ubingwa. Kumbuka, Simba ilishawahi kufika fainali ya kombe la CAF 1993
 
Yanga wanajiona wako vzr baada kumshinda tp mazembe iliyoisha, kumbukeni mazembe alikua, raund champions lg, akatolewa na vipers, ambayo imepigwa nje na ndani na simba.
 
Hata mie nakubali kule CAFCC hakuna team za kutisha mwaka huu, Yanga wakichanga karata vizuri wanafika Final km sio kuchukua kombe kabisaa.

Team nayoona inaweza kuizuia Yanga ni Pyramids tyuuh, wale wengine anawapiga nje ndani (akiwa serious).
Hata nyie mngechukua kosa lenu likuwa kuota na moto katikati ya uwanja mkasahahu mpira ni sayansi.
 
Tukubali tu ukweli yanga ya Sasa wamejipanga pesa imewekezwa kisawasawa nadhan wale wa ten percent walifyekelewa mbali huko Kwa mtaani wetu utopolo.

Hata sisi Simba inwezekana shida upigaj mwingi ndio maana tunaletewa wachezaj wa mafungu.

Nataman sana yanga ifike mbali Ili Simba nao wapate hasira na kuamua kuwekeza haswa na kununua wachezaj wa maana na sio hawa wa mafungu.
Leo hii yanga hakuna mchezaj mkubwa Kila mchezaj anapambania namba hii ndio maana halisi ya timu yenye kikosi kipana.
Go utopolo nadhan mlijifunza mengi kipind mnapitia wakat mgumu wa kutoambulia chochote Kwa misimu minne mfululizo na Sion km mtauja rudia hilo kosa km tulivyofanya sisi Simba Kwa kuingiza tamaa ya kuuza key players had timu kukosa balance had Leo inajitafuta balaa
 
Kwahiyo kwako umeona Berkane ndio timu ngumu zaidi kwa msimu uliopita? Haya nikuambie tu kuwa huyo Berkane unayemuona ndio kidume, ameondoshwa mashindanoni na Monastir ambayo kwa Mkapa imeoga goli mbili bila. Yanga kwasasa imeimarika
 
Hata nyie mngechukua kosa lenu likuwa kuota na moto katikati ya uwanja mkasahahu mpira ni sayansi.
Na nyie hiyo Sayansi zamani mlikua hamuijui??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kombe la wajane hilo[emoji3][emoji39][emoji14][emoji2][emoji14][emoji39][emoji3][emoji39][emoji14][emoji2]

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Simba hajawahi kufika fainali ya SHIRIKISHO kasome tena mashindano yale yalijulikana vipi.
 
Kuivuka historia ya Simba maana yake ni kuchukua ubingwa. Kumbuka, Simba ilishawahi kufika fainali ya kombe la CAF 1993
Ndugu Mbumbumbu kwanza unatakiwa ujue CAF confederation cup lilianzishwa Lini usikurupuke. Mashindano yalianzishwa 2004 Sasa iyo 1993 inaingiza vipi apo?
 
Yanga wanajiona wako vzr baada kumshinda tp mazembe iliyoisha, kumbukeni mazembe alikua, raund champions lg, akatolewa na vipers, ambayo imepigwa nje na ndani na simba.
Na usisahau kuwaambia Vipers kampiga Yanga 2 kwa yai hapo kwa mkapa. Wakibisha nimekaa palee.
 
Na usisahau kuwaambia Vipers kampiga Yanga 2 kwa yai hapo kwa mkapa. Wakibisha nimekaa palee.
Na utambue Simba imekua ikitandikwa na Yanga apo Kwa Mkapa Kwa kadri Yanga anavyo jisikia.
 
Kuivuka historia ya Simba maana yake ni kuchukua ubingwa. Kumbuka, Simba ilishawahi kufika fainali ya kombe la CAF 1993
Achana na miaka ya 93 tupo 2023 mkuu
 
Ndugu Mbumbumbu kwanza unatakiwa ujue CAF confederation cup lilianzishwa Lini usikurupuke. Mashindano yalianzishwa 2004 Sasa iyo 1993 inaingiza vipi apo?
Ukae tu pembeni uwaachie wanaojua kutoka Kombe la CAF hadi shirikisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…