Yanga wataweka Rekodi mwaka huu ya kuingia Nusu Fainali ya Klabu Bingwa

Watawekaje record wakati makundi tu hawataingia?
 
Mjomba jua tu hii ni klabu bingwa,na ukipigwa huku hakuna kwenďa shirikisho,kila timu inalijua hilo na imejiandaa vyema,sio preliminaries hizo mlizoshinda goli nyingi nyingi,vitu sio rahisi hivyo
Nionavyo, kikwazo cha yanga kitakua kuingia makundi, but akifanikiwa story inaweza kua nyingine.
 
Ukiwa ndotoni ukiona choo usikitumie.

Endelea kuota.
 
inshaalaah
 
Hilo mbona Lipo wazi
 
km akipata vbonde hata fainal anafika ila akikutana na wakubwa basi ataishia hatua hiyo hiyo alipokutana na mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…